-
Uhispania imefuta makubaliano ya silaha ya Euro milioni 700 na Israel kutokana na mauaji ya kimbari
Sep 16, 2025 12:04Uhispania imefuta mkataba wa silaha zenye thamani ya mamilioni ya yuro na Israel kutokana na vita na mauaj ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala huo dhidi ya Gaza.
-
Jumatatu, 15 Septemba, 2025
Sep 15, 2025 04:02Leo ni Jumatatu 22 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na 15 Septemba 2025.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Nasikitika hatuna bomu la nyuklia tukaizuia Israel isishambulie Ghaza!
Sep 12, 2025 10:28Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ameendelea kukosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina huku akieleza kwa masikitiko kwamba Uhispania haina bomu la nyuklia, manowari ya kubebea ndege za kivita, wala utajiri mkubwa wa mafuta, vitu vitakavyoiwezesha kusimamisha peke yake mashambulizi ya utawala huo dhidi ya Ghaza; lakini hiyo haimaanishi kwamba Madrid itasitisha juhudi zake.
-
Uhispania yamuita nyumbani balozi wake wa Israel
Sep 10, 2025 06:40Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa Uhispania imemuita tena balozi wake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ikilalamikia sera za mauaji za Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Uhispania yataka Israel ifukuzwe kwenye mashindano ya baiskeli
Sep 06, 2025 11:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania ameunga mkono wito wa kuondolewa timu ya waendesha baiskeli ya Israel kwenye mashindano ya mchezo huo yanayoendelea, kufuatia maandamano na malalamiko ya waungaji mkono wa Palestina nchini humo.
-
Raia 102 wa kigeni magaidi na matapeli wa mitandaoni watimuliwa Nigeria, wengi wao ni Wachina
Aug 22, 2025 10:04Serikali ya Nigeria imewatimua raia wa kigeni 102 wakiwemo Wachina 50 waliopatikana na hatia ya kuhusika na "ugaidi wa mitandaoni na utapeli wa mitandaoni".
-
Kwa nini eneo la kusini mwa dunia limejipanga dhidi ya sera za Trump?
Jul 25, 2025 12:04Nchi nne za Amerika ya Kusini na viongozi wa mrengo wa kushoto nchini Uhispania wameonya juu ya tishio la demokrasia duniani na kutoa mwito wa kuwepo umoja dhidi ya sera za Marekani na ongezeko misimamo ya kuufuurutu ada duniani.
-
Jumatatu, 16 Juni, 2025
Jun 16, 2025 03:11Leo ni Jumatatu 20 Mfunguo Tatu Dhulhija 1446 Hijria mwafaka na 16 Juni 2025 Milaadia.
-
Barcelona yavunja uhusiano na Israel kutokana na mauaji ya Gaza
May 31, 2025 10:20Baraza la Jiji la Barcelona limetangaza kuvunja uhusiano wa kitaasisi na utawala wa Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Kwa nini Uhispania imeongeza mashinikizo dhidi ya Israel?
May 22, 2025 02:18Bunge la Uhispania limepitisha muswada unaoitaka serikali ya nchi hiyo kuacha kuuzia utawala ghasibu wa Israel zana zozote za kijeshi.