-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na China; sisitizo la Xi Jinping juu ya umuhimu wa uhusiano wa pande mbili
Feb 16, 2023 02:26Jumanne ya juzi tarehe 14 Februari, Rais Ebrahim Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo mjini Beijing na Rais Xin Jinping wa China.
-
Rais wa Iran awasili Beijing, kusaini hati 20 za makubaliano na China
Feb 14, 2023 02:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Beijing, mji mkuu wa China kwa ziara rasmi ya kikazi, kufuatia mwaliko wa Rais Xi Jinping wa nchi hiyo.
-
Velayati: Uhusiano wa Iran na Russia ni wa kina, wa kimkakati na unaostawi
Jan 05, 2023 09:50Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kwamba uhusiano wa Iran na Russia hivi sasa uko katika kiwango bora zaidi na unaendelea kustawi.
-
Biashara baina ya Iran, Afrika yapindukia dola milioni 990 ndani ya miezi 7
Dec 02, 2022 02:43Miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika imepindukia dola milioni 990 za Marekani katika kipindi cha miezi saba iliyopita.
-
Iran na Zimbabwe zatathmini njia za kuimarisha uhusiano wao
Nov 06, 2022 07:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe hapa mjini Tehran, na kujadili mikakati na njia za kupanua na kuboresha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili.
-
Nicaragua yakata uhusiano na Uholanzi, yamzuia balozi wa Marekani
Oct 01, 2022 12:02Nicaragua imetangaza kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na Uholanzi, muda mfupi baada ya kumzuia Balozi wa Marekani kuingia nchini humo kutokana na kile ilichokitaja kuwa ni uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Rais wa Tanzania akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Aug 27, 2022 03:59Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian mjini Dodoma.
-
Zanzibar: Tuna hamu ya kupanua uhusiano wetu na Iran
Aug 26, 2022 07:29Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar amesema anatumai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitaimarisha na kupanua uhusiano wao wa pande mbili.
-
Iran na Afrika Kusini zitilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano baina yao
May 24, 2022 01:18Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa ushirikiano baina ya nchi yake na Afrika Kusini na kusisitiza kuwa, kutiwa nguvu ushirikiano baina ya Tehran na Pretoria ni jambo la dharura sana kwa ajili ya kupambana na fikra potofu ya kila nchi kujikumbizia mambo yote upande wake.
-
Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 04, 2022 02:33Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika kipindi kipya na cha wasiwasi na mivutano baada ya kuanza mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kuwa pamoja na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.