Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Alkhamisi tarehe 19 Aprili, 2018

    Alkhamisi tarehe 19 Aprili, 2018

    Apr 18, 2018 22:35

    Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Shaaban 1439 Hijria sawa na Aprili 19 mwaka 2018.

  • Russia: Madai ya shambulizi la silaha za kemikali Syria yaliratibiwa na majasusi wa Uingereza

    Russia: Madai ya shambulizi la silaha za kemikali Syria yaliratibiwa na majasusi wa Uingereza

    Apr 17, 2018 09:54

    Mwakilishi wa Russia katika Shirika Linalopiga Marufuku Matumizi ya Silaha za Kemikali (OPCW) amesema madai ya kutumiwa silaha za kemikali katika eneo la Douma nchini Syria na yaliyotumika kama kisingizio cha kuishambulia nchi hiyo ya Kiarabu, ni operesheni ya mchezo mchafu iliyopangwa na kutekelezwa na asasi za kijasusi za Uingereza.

  • Korea Kaskazini: Hatua ya Uingereza kutuma meli za kijeshi eneo la Korea ni sawa na kututangazia vita

    Korea Kaskazini: Hatua ya Uingereza kutuma meli za kijeshi eneo la Korea ni sawa na kututangazia vita

    Apr 16, 2018 12:51

    Serikali ya Korea Kaskazini imeonyesha kukasirishwa na hatua ya Uingereza ya kutuma meli zake za kivita katika Rasi ya Korea na kuitaja hatua hiyo kuwa ni sawa na kutangaza vita.

  • Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria

    Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria

    Apr 14, 2018 02:45

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimelaani vikali mashambulizi ya makombora ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria huku zikitoa onyo kali juu ya matokeo mabaya ya hujuma hiyo ya kijeshi dhidi ya nchi huru.

  • Jeshi la Syria lateka na kuwashikilia wanajeshi vamizi wa Uingereza Ghouta Mashariki

    Jeshi la Syria lateka na kuwashikilia wanajeshi vamizi wa Uingereza Ghouta Mashariki

    Apr 11, 2018 22:02

    Shirika rasmi la habari la Syria limetangaza kuwa wanajeshi kadhaa wa Uingereza wanashikiliwa mateka kufuatia operesheni iliyofanywa na jeshi la Syria huko Ghouta Mashariki katika viunga vya Damascus.

  • Chama cha Leba cha UK chalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina

    Chama cha Leba cha UK chalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina

    Apr 08, 2018 03:10

    Jeremy Corbyn, Kiongozi wa Chama cha Leba cha nchini Uingereza amelaani vikali kimya cha nchi za Magharibi mbele ya mauaji ya makumi ya Wapalestina yaliyofanywa na vikosi katili vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mpaka wa Ghaza.

  • White House yahamakishwa na hatua ya Russia kutimua wanadiplomasia 60 wa US

    White House yahamakishwa na hatua ya Russia kutimua wanadiplomasia 60 wa US

    Mar 30, 2018 10:34

    Ikulu ya Marekani ya White House imeeleza kughadhibishwa kwake na hatua ya Russia kuwafukuza nchini humo makumi ya wanadiplomasia wa Marekani sambamba na kuagiza kufungwa ofisi ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo.

  • Ripoti: Uingereza inaficha uuzaji wa silaha Mashariki ya Kati kwa mikataba ya siri

    Ripoti: Uingereza inaficha uuzaji wa silaha Mashariki ya Kati kwa mikataba ya siri

    Mar 25, 2018 09:56

    Ripoti ya karibuni imefichua kuwa Uingereza inatumia vibali vya siri kuficha kiwango cha silaha zake inazoziuza kwa nchi zenye rekodi za kutisha kuhusu haki za binadamu katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Ulimwengu wa Soka, Machi 19

    Ulimwengu wa Soka, Machi 19

    Mar 19, 2018 02:46

    Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tuangazie matukio muhimu yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.....

  • Maadui watangaza

    Maadui watangaza "Siku ya Kumwadhibu Muislamu" nchini Uingereza

    Mar 11, 2018 23:00

    Taharuki imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Uingereza baada ya kundi lenye chuki dhidi ya Uislamu kusambaza barua za kutaka kushambuliwa Waislamu na misikiti nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS