-
Chama cha Leba cha UK chalaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina
Apr 08, 2018 03:10Jeremy Corbyn, Kiongozi wa Chama cha Leba cha nchini Uingereza amelaani vikali kimya cha nchi za Magharibi mbele ya mauaji ya makumi ya Wapalestina yaliyofanywa na vikosi katili vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mpaka wa Ghaza.
-
White House yahamakishwa na hatua ya Russia kutimua wanadiplomasia 60 wa US
Mar 30, 2018 10:34Ikulu ya Marekani ya White House imeeleza kughadhibishwa kwake na hatua ya Russia kuwafukuza nchini humo makumi ya wanadiplomasia wa Marekani sambamba na kuagiza kufungwa ofisi ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo.
-
Ripoti: Uingereza inaficha uuzaji wa silaha Mashariki ya Kati kwa mikataba ya siri
Mar 25, 2018 09:56Ripoti ya karibuni imefichua kuwa Uingereza inatumia vibali vya siri kuficha kiwango cha silaha zake inazoziuza kwa nchi zenye rekodi za kutisha kuhusu haki za binadamu katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Ulimwengu wa Soka, Machi 19
Mar 19, 2018 02:46Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tuangazie matukio muhimu yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.....
-
Maadui watangaza "Siku ya Kumwadhibu Muislamu" nchini Uingereza
Mar 11, 2018 23:00Taharuki imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Uingereza baada ya kundi lenye chuki dhidi ya Uislamu kusambaza barua za kutaka kushambuliwa Waislamu na misikiti nchini humo.
-
Iran yalaani kushambuliwa ubalozi wake London, Uingereza
Mar 10, 2018 04:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya kushambuliwa ubalozi wake mjini London, na kuitaka polisi ya Uingereza kuwadhaminia usalama wanadiplomasia wa Iran nchini humo.
-
Safari ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia nchini Uingereza, Silaha Mkabala wa Kuunga Mkono Jinai
Mar 07, 2018 22:07Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia, Mohammad Bin Salman, Jumatano aliwasili nchini Uingereza baada ya safari hiyo kuakhirishwa mara kadhaa.
-
Uingereza kuwatimua maelfu ya wahajiri wa Zimbabwe
Feb 16, 2018 23:10Serikali ya Uingereza imetangaza azma yake ya kuwafukuza nchini humo maelfu ya wahajiri haramu raia wa Zimbabwe.
-
Ulimwengu wa Michezo: Morocco yatwaa taji la CHAN, Iran yazinyuka China na Myanmar Futsal
Feb 05, 2018 03:42Hujambo mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu tutupie jicho matukio mawili matatu ya michezo yaliyogonga vichwa habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....
-
Wairaki wakasirishwa na mtazamo wa kikoloni wa Marekani kwa nchi yao
Jan 28, 2018 04:16Wairaki wanaendelea kubainisha hasira zao kufuatia jinai iliyotekelezwa jana na jeshi la Marekani nchini humo. Katika tukio la Jumamosi asubuhi, helikopta ya Jeshi la Marekani ilivamia eneo la Al Baghdadi katika mkoa wa Al Anbar magharibi mwa Iraq na kuua watu 8 na kuwajeruhi wengine 11.