Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Ulimwengu wa Spoti, Jan 22

    Ulimwengu wa Spoti, Jan 22

    Jan 22, 2018 03:12

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache zilizotengwa kwa ajili ya kuangazia matukio mawili matatu ya michezo yaliyogonga vichwa vya habari kitaifa na kimataifa. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi……..Karibu…..

  • The Independent: Bin Salman ndiye 'shakhsia wa mwaka' kwa mapungufu

    The Independent: Bin Salman ndiye 'shakhsia wa mwaka' kwa mapungufu

    Dec 17, 2017 04:35

    Mwandishi mashuhuri wa habari wa gazeti la The Independent la Uingereza kwa njia ya kinaya amemuarifisha Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kuwa 'shakhsia wa mwaka' kutokana na kufeli sera zake katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Rais wa Iran: Uamuzi usio sahihi wa Trump ni sawa na kumwagia petroli kwenye moto

    Rais wa Iran: Uamuzi usio sahihi wa Trump ni sawa na kumwagia petroli kwenye moto

    Dec 10, 2017 13:05

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa hivi karibuni wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel na kutoa amri ya kuhamishiwa ubalozi wa Washington katika mji huo ulikuwa sawa na kumwagia mafuta ya petroli katika moto katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza mjini Tehran, fursa ya utatuzi au chanzo cha mjadala mpya?

    Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza mjini Tehran, fursa ya utatuzi au chanzo cha mjadala mpya?

    Dec 10, 2017 03:08

    Boris Johnson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, aliwasili hapa mjini Tehran jana Jumamosi na kwa mujibu wa taarifa za vyombo rasmi, lengo la safari yake ni kunyanyua kiwango cha uhusiano baina ya nchi yake na Iran.

  • Jumamosi, 9 Disemba, 2017

    Jumamosi, 9 Disemba, 2017

    Dec 08, 2017 23:01

    Leo ni Jumamosi tarehe 20 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria ambayo inalingana na tarehe 9 Disemba 2017 Miladia.

  • New York Times: Maelfu ya watu wamenasa katika utumwa Uingereza

    New York Times: Maelfu ya watu wamenasa katika utumwa Uingereza

    Nov 19, 2017 23:18

    Ripoti iliyochapishwa na tume ya serikali ya Uingereza imesema kuwa maelfu ya watu nchini humo wanatumbukia katika mtego wa utumwa na kwamba baadhi yao ni wahajiri japokuwa wengi wao ni raia wa Uingereza yenyewe, suala ambalo limezusha mshtuko mkubwa.

  • Waziri wa Uingereza ajiuzulu kwa kufanya mikutano ya siri na Netanyahu

    Waziri wa Uingereza ajiuzulu kwa kufanya mikutano ya siri na Netanyahu

    Nov 09, 2017 04:20

    Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Priti Patel amelazimika kujiuzulu kutokana na mtikisiko wa kisiasa nchini humo uliosababishwa na yeye kufanya mikutano ya siri na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel akiwemo Waziri Mkuu wa utawala huo bandia, Benjamin Netanyahu.

  • Jumapili, Novemba 5, 2017

    Jumapili, Novemba 5, 2017

    Nov 05, 2017 05:39

    Leo ni Jumapili tarehe 16 Mfunguo Tano Safar 1439 Hijria, sawa na tarehe tano Novemba, 2017 Miladia.

  • Uingereza yaendelea kukosolewa kila kona kwa hatua yake ya kuasisi utawala haramu wa Israel

    Uingereza yaendelea kukosolewa kila kona kwa hatua yake ya kuasisi utawala haramu wa Israel

    Nov 03, 2017 04:25

    Serikali ya Uingereza imeendelea kuandamwa na ukosoaji wa kila upande kutokana na hatua yake ya kuasisi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Jumatano 1 Novemba, 2017

    Jumatano 1 Novemba, 2017

    Nov 01, 2017 01:02

    Leo ni Jumatano tarehe 12 Safar 1439 Hijria sawa na tarehe Mosi Novemba, 2017.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS