-
Uingereza yataka raia wake waliojiunga na ISIS Syria wauawe
Oct 24, 2017 01:01Uingereza inataka raia wake waliojiunga na kundi la kigaidi la ISIS au Daesh nchini Syria wauawe kabla ya kupata fursa ya kurejea nyumbani.
-
Ulimwengu wa Spoti, Okt 23
Oct 23, 2017 04:39Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tutupie jicho matukio kadhaa muhimu yaliyotawala uga wa spoti kitaifa na kimataifa, ndani ya siku saba zilizopita. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi...
-
Wapalestina: Uingereza iliombe radhi taifa la Palestina kwa Azimio la Balfour
Oct 19, 2017 12:44Wakati serikali ya Uingereza inatazamiwa kusherehekea maadhimisho ya miaka 100 tangu kutolewa Azimio la Balfour, makundi ya Kipalestina yamesisitizia ulazima wa serikali ya London kuliomba radhi taifa la Palestina kwa sababu ya kutoa azimio hilo.
-
Ulimwengu wa Michezo
Oct 16, 2017 04:38Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache za kukupasha matukio mawili matatu yaliyotikisa uga wa michezo duniani, ndani ya siku saba zilizopita. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi, karibu……...
-
Uingereza yamtaka Trump aheshimu JCPOA
Oct 11, 2017 04:48Waziri Mkuu wa Uingereza amekariri kuwa London itaendelea kufungamana na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran, huku akimtaka Rais Donald Trump wa Marekani kuheshimu mapatano hayo ya kimataifa.
-
Syria: US na UK ziliwapa magaidi silaha za kemikali zilizoua raia Khan Sheykhoun
Aug 17, 2017 02:43Uchunguzi uliofanywa na serikali ya Damascus umebainisha kuwa, Marekani, Uingereza na waitifaki wao zinayapa silaha zikiwemo za kemikali magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jumanne tarehe 25 Julai, 2017
Jul 24, 2017 22:31Leo ni Jumanne tarehe Mosi Dhilqaada 1438 Hijria sawa na Julai 25, 2017.
-
Waislamu wazidi kunyanyaswa nchini Uingereza
Jun 18, 2017 03:23Vitendo vya unyanyasaji dhidi ya Waislamu vimeongezeka nchini Uingereza hasa baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi katika miji ya Manchester na London.
-
Jumapili, Juni 18, 2017
Jun 17, 2017 23:26Leo ni Jumapili tarehe 23 Ramadhani 1438 Hijria sawa na tarehe 18 Juni, 2017 Miladia.
-
Jumamosi, Juni 10, 2017
Jun 09, 2017 23:28Leo ni Jumamosi tarehe 15 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1438 Hijria sawa na tarehe 10 Juni mwaka 2017 Miladia.