Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • 19 Wauawa katika hujuma ya kigaidi Manchester, Uingereza

    19 Wauawa katika hujuma ya kigaidi Manchester, Uingereza

    May 22, 2017 23:05

    Watu wasiopungua 19 wameuawa katika mji wa Manchester nchini Uingereza kufuatia mlipuko mkubwa unaoshukiwa kuwa hujuma ya kigaidi.

  • Chama cha Leba cha UK kuitambua Palestina kikiingia madarakani

    Chama cha Leba cha UK kuitambua Palestina kikiingia madarakani

    May 16, 2017 23:09

    Chama cha Leba cha Uingereza kimesema kitaitambua Palestina iwapo kitaibuka mshindi katika uchaguzi wa Juni 8 nchini humo.

  • Ulimwengu wa Spoti, Mei 8

    Ulimwengu wa Spoti, Mei 8

    May 08, 2017 05:48

    Huu ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....

  • Magaidi 350 raia wa Uingereza warejea nyumbani kutoka  Syria

    Magaidi 350 raia wa Uingereza warejea nyumbani kutoka Syria

    May 06, 2017 03:17

    Mashirika ya kijasusi ya Uingereza yameonya kuwa raia 350 wa nchi hiyo ambao ni magaidi wanachama wa kundi la kigaidi la ISIS wamerejea nchini humo kutoka Syria na sasa ni tishio kubwa kwa usalama.

  • Uingereza yatuma mamia ya askari wake nchini Sudan Kusini

    Uingereza yatuma mamia ya askari wake nchini Sudan Kusini

    May 03, 2017 03:14

    Serikali ya Uingereza imeanza kutuma askari 400 wa nchi hiyo nchini Sudan Kusini kwenda kujiunga na Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa UNMISS.

  • Moscow: Uingereza itafutwa katika ramani ya dunia iwapo itatumia silaha za nyuklia dhidi ya Russia

    Moscow: Uingereza itafutwa katika ramani ya dunia iwapo itatumia silaha za nyuklia dhidi ya Russia

    Apr 24, 2017 22:34

    Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Baraza la Seneti la Russia ametoa tahadhari kali kuhusu vitisho vilivyotolewa na Waziri wa Ulinzi wa Uingereza vya kutumia silaha za nyuklia katika mashambulizi eti ya kujilinda dhidi ya Russia.

  • Ulimwengu wa Spoti, Apr 24

    Ulimwengu wa Spoti, Apr 24

    Apr 24, 2017 05:30

    Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri wiki hii ndani na nje ya nchi....

  • Wapalestina waitaka Uingereza kuomba radhi kwa kutoa Azimio la Balfour

    Wapalestina waitaka Uingereza kuomba radhi kwa kutoa Azimio la Balfour

    Apr 18, 2017 11:07

    Taarifa ya mwisho iliyotolewa na mkutano wa Wapalestina wanaoishi barani Ulaya imeitaka Uingereza kuomba radhi rasmi kwa sababu ya kutoa Azimio la Balfour lililopelekea kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina na hatimaye kufukuzwa wenyeji katika ardhi na nchi yao.

  • Ulimwengu wa Spoti, Apr 17

    Ulimwengu wa Spoti, Apr 17

    Apr 17, 2017 02:31

    Karibu tukupashe kwa kina bingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran, matokeo ya Kombe la CAF na msimamo wa Ligi Kuu ya Soka Uingereza........

  • Theresa May; mdau wa mchezo mchafu wa majungu ya kueneza hofu na chuki dhidi ya Iran

    Theresa May; mdau wa mchezo mchafu wa majungu ya kueneza hofu na chuki dhidi ya Iran

    Apr 07, 2017 01:42

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amethibitisha kuwa mdau mwenza wa nchi hiyo yaani Marekani haina ilichoizidi London katika upikaji majungu dhidi ya Iran. Katika siku chache zilizopita viongozi wa Marekani wamesikika wakipayuka kuzungumzia kile walichodai kuwa jitihada wanazofanya za kuanzisha muungano wa kieneo baina ya nchi hiyo na tawala za Kiarabu dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS