-
Moscow: Uingereza itafutwa katika ramani ya dunia iwapo itatumia silaha za nyuklia dhidi ya Russia
Apr 24, 2017 22:34Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Baraza la Seneti la Russia ametoa tahadhari kali kuhusu vitisho vilivyotolewa na Waziri wa Ulinzi wa Uingereza vya kutumia silaha za nyuklia katika mashambulizi eti ya kujilinda dhidi ya Russia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Apr 24
Apr 24, 2017 05:30Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri wiki hii ndani na nje ya nchi....
-
Wapalestina waitaka Uingereza kuomba radhi kwa kutoa Azimio la Balfour
Apr 18, 2017 11:07Taarifa ya mwisho iliyotolewa na mkutano wa Wapalestina wanaoishi barani Ulaya imeitaka Uingereza kuomba radhi rasmi kwa sababu ya kutoa Azimio la Balfour lililopelekea kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina na hatimaye kufukuzwa wenyeji katika ardhi na nchi yao.
-
Ulimwengu wa Spoti, Apr 17
Apr 17, 2017 02:31Karibu tukupashe kwa kina bingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran, matokeo ya Kombe la CAF na msimamo wa Ligi Kuu ya Soka Uingereza........
-
Theresa May; mdau wa mchezo mchafu wa majungu ya kueneza hofu na chuki dhidi ya Iran
Apr 07, 2017 01:42Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amethibitisha kuwa mdau mwenza wa nchi hiyo yaani Marekani haina ilichoizidi London katika upikaji majungu dhidi ya Iran. Katika siku chache zilizopita viongozi wa Marekani wamesikika wakipayuka kuzungumzia kile walichodai kuwa jitihada wanazofanya za kuanzisha muungano wa kieneo baina ya nchi hiyo na tawala za Kiarabu dhidi ya Iran.
-
Spoti Wiki Hii, Apr 3
Apr 03, 2017 02:29Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti kitaifa na kimataifa ndani ya siku saba zilizopita.......
-
Uingereza kuanza mchakato wa kujiondoa EU
Mar 20, 2017 11:15Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May mnamo Machi 29 atatia saini nyaraka za kujiondoa rasmi nchi yake katika Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit.
-
Maelfu waandamana London, Uingereza kulaani chuki dhidi ya Uislamu
Mar 19, 2017 04:16Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Uingereza, London kushiriki maandamano ya kulaani chuki na uenezaji hofu dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.
-
Uchunguzi: Nusu ya Waingereza hawajui kama Saudia imeanzisha vita dhidi ya Yemen
Mar 18, 2017 12:32Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa unaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya raia wa Uingereza hawana habari kuhusu vita angamizi vilivyoanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen pamoja na kwamba serikali yao ni mmoja wa wauzaji wakuu za silaha zinazotumiwa na utawala wa Aal Saud katika vita hivyo.
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 13
Mar 13, 2017 03:37Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita.......