-
Jumanne, tarehe 7 Machi, 2017
Mar 07, 2017 00:54Leo ni Jumanne tarehe 8 Jamadithani 1438 Hijria sawa na Machi 7, 2017.
-
Jumapili Machi 5, 2017.
Mar 06, 2017 06:04Leo ni Jumapili tarehe 6 Jamaduth-Thani mwaka 1438 Hijria, sawa na tarehe 5 Machi 2017 Miladia.
-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 6, 2017
Mar 06, 2017 03:33Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio kadhaa muhimu ya michezi yaliyojiri katika muda wa siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi.......
-
Ulimwengu wa Spoti, Februari 27
Feb 27, 2017 03:53Tutakupasha kuhusu fainali ya Kombe la Roll Ball; Kisa cha Simba kummeza Yanga; Na Man U yatwaa Kombe la EPL na kuwa klabu yenye ufanisi zaidi Uingereza, mahala pale Liverpool.......
-
Jumatatu, Januari 20, 2017
Feb 19, 2017 23:19Leo ni Jumatatu tarehe 22 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na Februari 20, 2017 Milaadia.
-
Iran yakosoa hatua ya Uingereza ya kuzipatia silaha nchi za Kiarabu ili kuvuruga usalama wa eneo
Feb 17, 2017 00:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushiriki wa Uingereza katika kuzidhaminia silaha baadhi ya nchi za eneo la Mashariki ya Kati kwa ajili ya kuwashambulia raia madhulumu wa Yemen, ni uthibitisho kwamba London inahusika na machafuko katika eneo hili.
-
Ulimwengu wa Michezo, Februari 13
Feb 13, 2017 04:37Mkusanyiko wa matukio kemkem ya spoti ndani ya siku saba zilizopita......................
-
Uingereza yabadili siasa zake kuhusu Syria na Rais Bashar Assad
Jan 27, 2017 00:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amekiri katika Kamati ya Masuala ya Kigeni ya Bunge la nchi hiyo kwamba London imebadili siasa zake kuhusiana na Syria.
-
Hivi ndivyo Uingereza inavyochochea jinai Mashariki ya Kati
Jan 12, 2017 07:32Wakati kuna kila dalili zinazoonesha kuwa, Uingereza inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha inarejea katika Ghuba ya Uajemi, ushahidi mpya umethibitisha kwamba mkoloni huyo mkongwe wa Ulaya anahusika moja kwa moja katika jinai zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu hususan Saudi Arabia.
-
Uingereza yakiri kuiuzia Saudi Arabia mabomu ya vishada 500
Jan 11, 2017 11:54Uingereza imekiri kwamba, iliiuzia Saudi Arabia mamia ya mabomu ya vishada katika miaka ya 80, ambayo yumkini yanatumika katika hujuma za Riyadh nchini Yemen.