Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • China yajibu mapigo kwa Marekani, yazitoza ushuru wa 34% bidhaa za nchi hiyo

    China yajibu mapigo kwa Marekani, yazitoza ushuru wa 34% bidhaa za nchi hiyo

    Apr 04, 2025 23:06

    China imetangaza kuwa itazitoza ushuru wa ziada wa 34% bidhaa zote zinazoagizwa kutoka Marekani, hatua inayoonekana kuwa ni ya kujibu mapigo kwa ushuru wa 34% ambao Rais Donald Trump ameziwekea bidhaa zinazozalishwa na nchi hiyo yenye uchumi wa pili mkubwa zaidi duniani.

  • Shambulio la RSF laua raia wanne na kujeruhi wanane katika mji wa Omdurman, Sudan

    Shambulio la RSF laua raia wanne na kujeruhi wanane katika mji wa Omdurman, Sudan

    Mar 19, 2025 00:43

    Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza kuwa, raia wanane wameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa katika shambulizi la mizinga lililofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) huko Omdurman, mji mkuu pacha wa nchi hiyo Khartoum.

  • Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi

    Mar 17, 2025 02:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Yemen kwa Muqawama wake wa kukabiliana na jinai za kinyama za utawala wa Marekani dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa hakuna shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi.

  • Mtikisiko wa kiuchumi nchini Uingereza; Kengele ya hatari kwa serikali ya Starmer

    Mtikisiko wa kiuchumi nchini Uingereza; Kengele ya hatari kwa serikali ya Starmer

    Mar 15, 2025 05:12

    Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa uchumi wa Uingereza ulidorora mwanzoni mwa 2025, kinyume na utabiri, na kushuka huku kusikotarajiwa, ambako ni matokeo ya uzalishaji duni wa viwandani na kudorora kwa sekta muhimu, kumezidisha wasiwasi kuhusu mustakabali wa uchumi wa nchi hiyo na changamoto zinazoikabili serikali ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo Keir Starmer katika njia ya ukuaji wa uchumi.

  • Wizi na uporaji wakithiri UK, kila siku matukio 55,000 ya wizi Uingereza

    Wizi na uporaji wakithiri UK, kila siku matukio 55,000 ya wizi Uingereza

    Mar 14, 2025 22:54

    Ripoti ya Muungano wa Wafanyabiashara wa Uingereza inaonesha kuwa maduka 55,000 nchini humo hukumbwa na vitendo vya wizi na uporaji kila siku, na robo ya wakazi wa nchi hiyo ya Ulaya wanasema walishuhudia kwa uchache tukio moja la wizi mwaka jana 2024.

  • Jumamosi, 15 Februari, 2025

    Jumamosi, 15 Februari, 2025

    Feb 14, 2025 23:10

    Leo ni Jumamosi 16 Shaaban 1446 Hijria mwafaka na 15 Februari 2025 Miladia.

  • Watoto wenye matatizo ya afya ya akili wazidi kuongezeka nchini Uingereza

    Watoto wenye matatizo ya afya ya akili wazidi kuongezeka nchini Uingereza

    Jan 24, 2025 03:27

    Idadi ya watoto wanaokabiliwa na matatizo ya afya ya akili nchini Uingereza inaripotiwa kuongezeka na kuibua wasiwasi mkubwa katika jamii ya hiyo ya bara Ulaya.

  • Shambulio la kisu Ujerumani, wawili wauawa

    Shambulio la kisu Ujerumani, wawili wauawa

    Jan 22, 2025 23:19

    Watu wawili, yaani mtu mzima na mtoto mmoja, waliuawa katika shambulio la kudungwa kisu nchini Ujerumani jana Jumatano.

  • Makundi ya kutetea Palestina ya Uingereza: Amani ya kudumu huko Gaza itapatikana kwa kukomesha uvamizi wa Israel

    Makundi ya kutetea Palestina ya Uingereza: Amani ya kudumu huko Gaza itapatikana kwa kukomesha uvamizi wa Israel

    Jan 17, 2025 23:11

    Makundi kadhaa ya wanaharakati wa Kipalestina nchini Uingereza yametoa wito wa kukomeshwa uvamizi wa Israel na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina, baada ya kutangazwa makubaliano ya kuzisitisha vita kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na utawala ghasibu wa Israel.

  • UN: Uhuru wa Syria, umoja na kubaki kamili ardhi yake yote vinakabiliwa na hatari kubwa

    UN: Uhuru wa Syria, umoja na kubaki kamili ardhi yake yote vinakabiliwa na hatari kubwa

    Jan 09, 2025 02:39

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha juu ya ulichokiita "hatari halisi" inayokabili uhuru na kujitawala kwa Syria kufuatia kuanguka ghafla utawala wa zamani wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS