-
Wanazuoni Uingereza walaani filamu inayouvunjia heshima Uislamu
Jun 11, 2022 10:19Wanazuoni wa Kiislamu nchini Uingereza wamelaani na kukosoa vikali filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi" yenye kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
-
70% ya Waislamu UK wamefanyiwa vitendo vya 'Islamophobia' kazini
Jun 08, 2022 10:50Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.
-
Iran yalaani wito wa kuchomwa moto Qur'ani nchini Sweden
Apr 18, 2022 02:27Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sweden amesema: "Kuchoma moto Qur'ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mfano wa wazi wa sera za chuki na hujuma ya kibaguzi dhidi ya Uislamu."
-
Kiungo wa timu ya Arsenal na Ghana, Thomas Partey aingia katika dini ya Uislamu
Mar 19, 2022 09:08Kiungo wa kati wa timu ya kandanda ya Arsenal ya Uingereza kutoka Ghana, Thomas Partey amesilimu na kuwa Muislamu, kulingana na picha zilizochapishwa na akaunti ya "Muslim Athletes" kwenye mtandao wa Instagram.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)
Jan 31, 2022 10:42Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.
-
Mgombea urais Ufaransa kupiga marufuku majina ya "Muhammad", misikiti na vazi la hijabu
Jan 26, 2022 04:14Mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa, Éric Zemmour, ametangaza ajenda na mipango yake kuhusu dini ya Kiislamu, ambayo amesema ataitekeleza iwapo ataingia Ikulu ya Elysee.
-
Serikali ya Uingereza yaagiza uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyefutwa kazi
Jan 24, 2022 12:26Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameamuru uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya waziri wa zamani Muislamu aliyesema kwamba alifutwa kazi katika serikali yake kwa sababu ya imani yake ya Kiislamu.
-
Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia
Jan 11, 2022 14:17Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.
-
Siku ya Kufutwa Utumwa Duniani
Dec 06, 2021 16:48Kwa jina la Mwenyezi Mungu, aliyemuumba mwanadamu akiwa huru, hakumfanya mtu yeyote kuwa mtumwa wa mwingine na hakuumba kiumbe chochote isipokuwa kwa ajili ya kumwabudu Yeye mwenyewe, ambaye ni Muumba na anayestahiki kuabudiwa.
-
Adabu za kusema na kuzungumza na watu
Dec 06, 2021 13:24Sisi sote tunaelewa kwamba, shakhsia na hali ya ndani ya nafsi ya wanadamu huwa na taathira ya moja kwa moja katika mwenendo wake na jinsi ya kusema na kuzungumza kwake na wanadamu wenzake.