-
Zarif: Iran inaweza kuwa mshirika muhimu wa kibiashara wa Ujerumani
Jun 16, 2016 02:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kusababisha madhara katika ushirikiano wa kiuchumi kati ya Iran na Ujerumani na kwamba Iran ikiwa ni nchi iliyopiga hatua inaweza kuwa mshirika muhimu wa kibiashara wa Ujerumani.
-
Chama chenye misimamo mikali Ujerumani chavunja mazungumzo na Waislamu
May 24, 2016 11:51Chama cha mrengo wa kulia nchini Ujerumani cha AfD kimevunja mazungumzo yaliyotazamia kuupatia ufumbuzi mkwaruzano kati yao na wanaharakati Waislamu nchini humo.
-
Merkel aikosoa Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji
Apr 20, 2016 03:18Chansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu na kusema kuwa ujenzi huo unazuia mchakato wa amani.
-
Ujerumaini kufukuza wakimbizi zaidi
Apr 09, 2016 22:36Mratibu wa masuala ya wakimbizi wa serikali ya Ujerumaini amesema kuwa, nchi hiyo inapaswa kuongeza idadi ya wakimbizi inaowarudisha makwao.
-
Ujerumani: Trump ni hatari kwa amani na usalama wa dunia
Mar 06, 2016 21:48Makamu Chansela wa Ujerumani amesema Donald Trump, mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican ni hatari kwa amani na maendeleo duniani.
-
Wito wa kimataifa wa kudhamini usalama wa wakimbizi
Feb 21, 2016 04:48Taasisi kadhaa za kimataifa zimetoa wito wa kudhaminiwa usalama na kulindwa maisha ya wakimbizi wanaojaribu kuingia Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.
-
Mwalimu Muirani auawa nchini Ujerumani
Feb 13, 2016 11:48Vyombo vya habari vya Ujerumani vimetangaza kuwa mwalimu mmoja Muirani ameuawa katika mazingira ya kutatanisha katika mji wa Celle nchini humo.
-
Rais Rouhani: Ugaidi ni hatari kwa dunia nzima
Feb 03, 2016 10:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa matukio ya miezi iliyopita yanaonyesha kuwa ugaidi ni hatari kwa wote ukiwemo Umoja wa Ulaya.