-
Kilichopelekea maandamano ya kuipinga Israel katika nchi za Ulaya kugeuka kuwa vuguvugu kubwa la umma barani humo
Oct 07, 2025 04:32Maandamano makubwa ya wananchi wa mataifa ya Ulaya dhidi ya sera za utawala wa kizayuni wa Israel huko Ghaza yangali yanaendelea.
-
Kukaribisha madola ya Ulaya jibu la HAMAS kwa mpango wa Trump; nini sababu zake?
Oct 06, 2025 02:18Katika hatua iliyoratibiwa, viongozi wa nchi kubwa za Ulaya wamekaribisha jibu la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) kwa mpango wa Trump kuhusu Gaza.
-
Hasira za nchi za Magharibi kuhusu Mkutano wa Shanghai na mjumuiko wa madola yanayoibukia
Sep 06, 2025 12:02Viongozi wa Marekani na Umoja wa Ulaya wamekasirishwa na mkutano wa kilele wa Shanghai na mkusanyiko wa nchi hasimu za Magharibi
-
Rais wa Iran azitaka US,EU kukomesha makabiliano, zirejee kwenye diplomasia
Sep 02, 2025 06:42Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Marekani na Ulaya zinapasa kuacha mienendo yao kwa msingi wa makabiliano na vitisho, na badala yake zifungamane na diplomasia ili kupata suluhisho lenye "mlingano na haki" kwa suala la nyuklia la Tehran.
-
Je, inatosha kwa nchi za Magharibi kulaani kwa maneno matupu jinai za utawala wa Israel?
Aug 26, 2025 02:42Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi 21 za Magharibi kwa pamoja wamelaani uamuzi wa Israel wa kujenga makaazi mapya ya walowezi wa Kizayuni huko Quds Mashariki.
-
Tangu Agosti 6, jeshi la Israel limebomoa kikamilifu majengo zaidi ya 1,000 ya Mji wa Ghaza
Aug 25, 2025 06:59Shirika la Ulinzi wa Raia la Palestina limetangaza kuwa jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limebomoa kikamilifu majengo zaidi ya 1,000 katika vitongoji vya Zeitoun na Sabra katika Mji wa Ghaza tangu lilipoanza kuuvamia mji huo mnamo Agosti 6, na hivyo kupelekea mamia ya Wapalestina kunasa chini ya vifusi vya majengo hayo.
-
Kashfa kubwa ya utawala wa Kizayuni: Israel, kituo kikubwa zaidi cha biashara ya dawa za kulevya barani Ulaya
Aug 23, 2025 09:39Kwa mujibu wa ripoti ya kituo cha runinga cha Israel, Channel 12, Israel inazidi kuwa kitovu kikuu cha biashara ya dawa za kulevya kuelekea katika nchi za Ulaya.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi ajiuzulu, kisa mkwamo wa vikwazo dhidi ya Israel
Aug 23, 2025 07:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Uholanzi, Caspar Veldkamp amejiuzulu baada ya kushindwa kupata uungwaji mkono wa baraza la mawaziri kwa vikwazo zaidi dhidi ya Israel, kutokana na mashambulizi ya kijeshi ya utawala huo wa Kizayuni huko Gaza.
-
Umoja wa Ulaya walaani mauaji ya waandishi wa habari wa Al Jazeera yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni
Aug 12, 2025 13:25Umoja wa Ulaya umelaani mauaji ya waandishi wa habari wa Televisheni ya Al Jazeera na utawala wa Kizayuni na kusisitiza kwamba waandishi wa habari hawapaswi kulengwa.
-
Takwimu za kutisha kuhusu hali ya umaskini barani Ulaya
Jul 22, 2025 04:32Licha ya sura yake ya kumetameta kama kimbilio la ufanisi na hali bora, takwimu zenye kushtua zinaonyesha kwamba Ulaya inaficha hali tete na ya kutisha ya kijamii. Takwimu zinaonyesha kuwa, umaskini unaenea katika vitovu vya miji mikubwa na vitongoji vilivyosahaulika vya miji ya Ulaya, na nafasi ambazo hapo awali zilitoa utulivu kwa tabaka la kati zinazidi kupungua.