-
Hadi ifikapo 2050 Waislamu watakuwa khumsi moja ya watu wote barani Ulaya
Jan 11, 2025 02:57Tovuti ya habari ya Globe Eye News imeripoti kuwa idadi ya Waislamu barani Ulaya itazidi kuongezeka katika kipindi cha miaka ijayo.
-
Nyota wa zamani wa NBA: Nililazimishwa kufuta haraka mtandaoni ujumbe wa "Palestina Huru"
Jan 09, 2025 06:09Nyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Vikapu nchini Marekani NBA Dwight Howard amesema, miaka michache iliyopita alilazimika kufuta haraka ujumbe alioweka kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter wa kuunga mkono Palestina.
-
Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria
Jan 02, 2025 06:48Rais William Ruto wa Kenya kwa mara ya kwanza amekiri hadharani matumizi mabaya ya mamlaka yanayofanywa na vikosi vya usalama, kufuatia wimbi la utekaji nyara wenye utata ambao umezua maandamano makubwa ya upinzani nchini humo.
-
Mkuu wa Intelijensia Ufaransa adai Ikhwanul-Muslimin ina lengo la kuasisi 'Khilafa' ya Ulaya
Dec 27, 2024 06:53Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Ufaransa amedai kuwa Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin imekuwa ikipanua ushawishi wake nchini humo, na lengo lake kuu ni kuifanya nchi hiyo kuwa sehemu ya Khilafa inayoendeshwa kwa Sharia za Uislamu.
-
Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia
Dec 18, 2024 11:07Rais Vladimir Putin wa Russia, ametoa onyo kuhusu kuwekwa makombora ya masafa ya kati na mafupi ya Marekani barani Ulaya na Asia, akisisitiza kwamba nchi yake itatoa jibu la pande zote kwa hatua hiyo. Putin amesema, mpango wa Washington wa kuweka makombora barani Ulaya unaitia wasiwasi mkubwa Moscow.
-
Idadi ya wafungwa Ufaransa yavunja rekodi huku wasiwasi wa msongamano ukiongezeka
Dec 02, 2024 02:37Wasiwasi umeibuka katika magereza ya Ufaransa baada ya idadi ya wafungwa kuongezeka na kuibua wasiwasi wa kutokea msongamano katika magereza ya nchi hiyo.
-
Waziri wa zamani wa vita wa Israel: Tunachofanya kaskazini ya Ghaza ni "maangamizi ya kizazi"
Dec 01, 2024 06:15Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Yaalon amesema, utawala huo unafanya "maangamizi ya kizazi" kaskazini ya Ukanda wa Ghaza, akimshutumu waziri mkuu Benjamin Netanyahu kwa kuielekeza Israel kwenye "uharibifu."
-
Iran na nchi tatu za Ulaya zaafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia
Nov 30, 2024 07:28Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran wa masuala ya Sheria na Kimataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu na nchi tatu za Ulaya zimeafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia.
-
Mienendo ya kindumakuwili ya Ulaya kuhusu waranti ya kukamatwa watawala wa Israel
Nov 29, 2024 15:27Hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutoa waranti ya kukamatwa Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant, Waziri Mkuu na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel imeakisiwa pakubwa kimataifa kwa kutilia maanani umuhimu wake na pia kutokana na kutochukuliwa hatua kama hiyo huko nyuma dhidi ya viongozi wa utawala huo ghasibu.
-
Kuongezeka uhasama na chuki dhidi ya Waislamu barani Ulaya
Oct 28, 2024 06:58Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya ukatili dhidi ya Waislamu katika nchi mbalimbali za Ulaya kumewatia wasiwasi viongozi wengi wa nchi za bara hilo juu ya matokeo ya mwenendo huo.