-
Israel yafanya maangamizi Lebanon, yateketeza msikiti na soko, idadi ya waliouawa na kujeruhiwa haijajulikana
Oct 13, 2024 10:57Msururu wa mashambulizi ya kinyama ya anga yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel yameteketeza kikamilifu msikiti na kubomoa soko kusini mwa Lebanon, katika kile kilichoelezewa kama "uangamizaji wa kila kitu" huku utawala huo ghasibu ukishadidisha na kupanua mashambulizi yake ya mabomu na makombora katika kila pembe ya nchi hiyo.
-
Kuundika mwafaka wa kimataifa dhidi ya Israel
Oct 13, 2024 02:09Utawala wa Kizayuni unaendelea kulaaniwa na kukosolewa pakubwa kimataifa kufuatia kuendelea jinai kubwa za utawala huo katika vita vya Gaza hususan mauaji ya kimbari unayotekekeleza dhidi ya Wapalestina na hivi sasa mashambulizi ya kila upande dhidi ya Lebanon ambayo yamewaua shahidi maelfu ya watu na kujeruhi makumi ya maelfu ya wengine huko Gaza na Lebanon.
-
Araghchi: Shambulio la Iran dhidi ya utawala wa Israel limetokana na haki ya uhalali wa kujilinda
Oct 02, 2024 08:09Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja shambulio kali la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya utawala katili wa Israel kuwa limeendana na haki ya halali wa kujilinda ya Kifungu cha 51 cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN).
-
Qalibaf: Madai ya uwongo ya nchi za Magharibi yanakwamisha mazungumzo yenye tija
Sep 16, 2024 02:53Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa hakutakuwepo mazungumzo yoyote yenye tija maadamu nchi za Ulaya na nyingine za Magharibi zinataka kuandaa mazingira kwa ajili ya mashinikizo zaidi kwa kutoa madai ya uwongo.
-
Wakala wa Afya Ulaya: Hatari ya maambukizi ya Mpox ni ya kiwango cha chini
Aug 22, 2024 12:05Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa barani Ulaya (ECDC) kimeeleza kuwa ingawa hatari ya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa mpox ni ndogo huko Ulaya, lakini kesi za mambukizi kutoka nje zinaweza kuongezeka.
-
Ombi la Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Mediterranean la kuwekewa vikwazo Israel
Aug 22, 2024 10:46Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Ulaya na Mediterania (The Euro-Mediterranean Human Rights Monitor-Euro-Med-) limeonya katika taarifa yake siku ya Jumatano kuhusu amri za mara kwa mara za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwataka Wapalestina wahame katika maeneo tofauti ya Gaza na kuzitaka nchi za dunia ziuwekee vikwazo utawala huo ghasibu na zisiuunge mkono.
-
Umoja wa Ulaya uko tayari kuimarisha ushirikiano na Iran
Jul 10, 2024 02:25Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema umoja huo uko tayari kwa ajili ya kupanua wigo wa ushirikiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Maandamano ya kuitetea Palestina yashuhudiwa Ulaya licha ya vizingiti
May 26, 2024 13:18Miji na majiji makubwa ya Ulaya jana Jumamosi yalishuhudia maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, sanjari na kutaka kusitishwa mara moja vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
-
Upinzani wa Marekani dhidi ya hatua ya nchi za Ulaya ya kulitambua taifa la Palestina
May 24, 2024 07:55Siku ya Jumatano, Ikulu ya Marekani ailitoa taarifa ya kuunga mkono kwa pande zote utawala haramu Israel na kusema kuwa Rais Biden anaamini kwamba taifa la Palestina linapaswa kuanzishwa kupitia mazungumzo na si kutambuliwa kwa upande mmoja na baadhi ya nchi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akosoa ufuasi kipofu wa Ulaya kwa Marekani
Apr 23, 2024 12:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuiwekea Iran vikwazo vilivyo kinyume cha sheria, akisema kuwa watu wa Ulaya hawapaswi kufuata ushauri wa Marekani wa kuuridhisha utawala mtendajinai wa Israel.