• Kudumishwa harakati za Imarati kinyume na fikra za waliowengi katika ulimwengu wa Kiarabu

    Kudumishwa harakati za Imarati kinyume na fikra za waliowengi katika ulimwengu wa Kiarabu

    Dec 26, 2022 02:16

    Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wa Palestina na wakati huo huo kukalia kwa mabavu maeneo matakatifu ya Waislamu ikiwa ni pamoja na Msikiti wa al-Aqsa, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, umetia saini mapatano mapya ya kushirikiana kiuchumi na kibiashara na utawala huo ghasibu.

  • Njama ya UAE yazimwa na

    Njama ya UAE yazimwa na "kampeni ya kufelisha uanzishaji uhusiano na Israel"

    Dec 05, 2022 12:06

    Kuzinduliwa kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye alama ya hashtag "Kufeli Uanzishaji Uhusiano na Israel Katika Kombe la Dunia Qatar" kumekaribishwa kwa wingi na wanaharakati wa Muungano wa Falme za Kiarabu, Imarati na nchi zingine za Kiarabu ambao wote wamesisitiza kwa kauli moja kwamba, Kombe la Dunia la Soka nchini Qatar limefichua na kuzima njama ya Imarati ya kueneza mpango wa kuanzisha uhusiano na Wzayuni.

  • Waziri Mkuu wa Israel afanya safari ya kushtukiza Imarati

    Waziri Mkuu wa Israel afanya safari ya kushtukiza Imarati

    Jun 09, 2022 23:21

    Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel yupo Abu Dhabi katika ziara rasmi ya kuutembelea Muungano wa Falme za Kiarabu.

  • Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko Imarati

    Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko Imarati

    Mar 21, 2022 02:35

    Rais wa Syria Bashar al-Assad Ijumaa iliyopita alifanya ziara yake ya kwanza katika nchi ya Kiarabu baada ya miaka 11. Assad alitembelea nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika ziara ambayo imewashangaza wengi na kuikasirisha mno serikali ya Marekani

  • Iran: Azimio la UNSC kuhusu Yemen lina taathira hasi kwa mwenendo wa kutafuta amani

    Iran: Azimio la UNSC kuhusu Yemen lina taathira hasi kwa mwenendo wa kutafuta amani

    Mar 02, 2022 03:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro wa Yemen na lugha iliyotumika katika azimio hilo vitakuwa na taathira hasi kwa mwenendo wa amani na kupanua zaidi ufa uliopo baina ya misimamo ya pande mbili zinazopigana.

  • Yemen: Ikiwa UAE itaendeleza uadui, tutaishambulia hadi ndani kabisa ya ardhi yake

    Yemen: Ikiwa UAE itaendeleza uadui, tutaishambulia hadi ndani kabisa ya ardhi yake

    Jan 13, 2022 04:12

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ameionya Imarati (UAE) kuwa, endapo itaendeleza uadui, vikosi vyao vya serikali ya uwokovu wa kitaifa vitashambulia hadi maeneo ya ndani kabisa ya ardhi ya nchi hiyo.

  • Alkhamisi tarehe Pili Disemba 2021

    Alkhamisi tarehe Pili Disemba 2021

    Dec 02, 2021 04:26

    Leo ni Alkhamisi tarehe 26 Rabiuthani 1443 Hijria sawa na tarehe Pili Disemba 2021.

  • Imarati yaunga mkono msimamo mpya wa Saudia kuhusu Iran

    Imarati yaunga mkono msimamo mpya wa Saudia kuhusu Iran

    Apr 30, 2021 03:12

    Mrithi wa kiti cha ufalme wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ameelezea kufurahishwa kwake na msimamo mpya wa Mohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia kuhusu kuwa na uhusiano mzuri na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Viongozi wa UAE wamtumia salamu za pongezi Rais Assad kwa mnasaba wa siku ya uhuru wa Syria

    Viongozi wa UAE wamtumia salamu za pongezi Rais Assad kwa mnasaba wa siku ya uhuru wa Syria

    Apr 18, 2021 06:28

    Kiongozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), naibu wake na mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi, wamemtumia, kwa nyakati tofauti, Rais Bashar al Assad wa Syria salamu za pongezi kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya uhuru na kufikia tamati kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo na Wakoloni Wafaransa.

  • Mauzo ya silaha ya serikali ya Biden kwa Imarati

    Mauzo ya silaha ya serikali ya Biden kwa Imarati

    Apr 15, 2021 08:15

    Miezi kadhaa ikiwa imepita tokea Joe Biden atangaze kusimamisha na kutazmwa upya mkataba wa mauzo ya silaha za Marekani kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), rais huyo mpya wa Marekani ametangaza kuwa ataendelea na mpango wa awali wa kuiuzia nchi hiyo ya Kiarabu silaha zenye thamani ya dola bilioni 23, ikiwa ni pamoja na ndege za kivita aina ya F35, droni zenye kubeba silaha na zana nyinginezo za kivita