Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Falme za Kiarabu

  • Bin Zayed aishauri Pentagon ikihamishie Imarati kituo cha kijeshi cha Incirlik kilichoko Uturuki

    Bin Zayed aishauri Pentagon ikihamishie Imarati kituo cha kijeshi cha Incirlik kilichoko Uturuki

    Sep 21, 2020 03:16

    Baadhi ya duru zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi Mohammad bin Zayed amefanya mashauriano na Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon juu ya mpango wa kukihamishia Imarati kituo cha anga cha jeshi la Marekani cha Incirlik kilichoko nchini Uturuki.

  • Pompeo adai UAE na Israel zimeafikiana kuanzisha muungano dhidi ya Iran

    Pompeo adai UAE na Israel zimeafikiana kuanzisha muungano dhidi ya Iran

    Sep 07, 2020 03:35

    Katika mwendelezo wa uchukuaji misimamo ya kiuadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amedai kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimefikia makubaliano ya kuanzisha muungano maalumu dhidi ya Iran.

  • Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote

    Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote

    Aug 28, 2020 06:29

    Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.

  • Iraq yatoa msimamo rasmi kuhusu mapatano ya UAE na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Iraq yatoa msimamo rasmi kuhusu mapatano ya UAE na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 27, 2020 10:54

    Msemaji wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuhusu mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba, hilo ni suala la ndani linalozihusu pande hizo mbili.

  • Wananchi wa Tunisia waandamana kulaani mapatano ya Imarati na utawala wa Kizayuni

    Wananchi wa Tunisia waandamana kulaani mapatano ya Imarati na utawala wa Kizayuni

    Aug 24, 2020 02:28

    Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano makubwa kupinga mapatano yaliyofikiwa kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili hizo.

  • Baraza la Taasisi za Kiislamu Marekani lapinga mapatano ya fedheha kati ya Imarati na Israel

    Baraza la Taasisi za Kiislamu Marekani lapinga mapatano ya fedheha kati ya Imarati na Israel

    Aug 15, 2020 06:45

    Baraza la Taasisi za Kiislamu za nchini Marekani (USCMO) limepinga mpango wa mapatano uliofikiwa kati ya Imarati na Israel.

  • Mgogoro kati ya Saudia na Imarati kuhusu mkoa wa Hadhramaut, Yemen washtadi

    Mgogoro kati ya Saudia na Imarati kuhusu mkoa wa Hadhramaut, Yemen washtadi

    Jun 07, 2020 04:07

    Mapigano ya niaba kati ya Saudi Arabia na Imarati katika mkoa wa Hadhramaut, mashariki mwa Yemen yameshadi zaidi.

  • FATF yatoa onyo kali kwa Imarati kwa kuruhusu  kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi

    FATF yatoa onyo kali kwa Imarati kwa kuruhusu kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi

    May 01, 2020 00:41

    Kundi maalumu la FATF limeuonya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutokana na kuchukua hatua chache na dhaifu katika kukabiliana na utakatishaji pesa na kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi.

  • Jitihada za Imarati za kudhibiti maliasili za mafuta ya Yemen

    Jitihada za Imarati za kudhibiti maliasili za mafuta ya Yemen

    Mar 14, 2020 12:07

    Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya kila uwezalo kudhibiti utajiri wa Yemen vikiwemo visima vya mafuta vya nchi hiyo.

  • Mgogoro baina ya Morocco na Imarati wapamba moto

    Mgogoro baina ya Morocco na Imarati wapamba moto

    Mar 12, 2020 08:05

    Uhusiano wa kidiplomasia baina ya Morocco na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeingia katika mgogoro mkubwa baada ya Abu Dhabi kukataa kutuma balozi mpya mjini Rabbat, na Morocco nayo imeamua kushusha chini kabisa kiwango cha uhusiano wake wa kidiplomasia na Imarati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS