-
Misri na Imarati zaunda kikosi cha majini cha Kikomando cha kukabiliana na Uturuki huko Libya
Mar 10, 2020 08:11Misri huku ikiungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu imeripotiwa kuunda kikosi maalumu cha oparesheni za majini kinachowajumuisha makomando wa Libya ambacho kimepewa jukumu la kulenga maslahi ya Uturuki katika pwani za Libya.
-
Ripoti: Imarati inatumia mamluki wa Kisudani kuua raia na kufanya magendo ya binadamu Libya
Dec 27, 2019 07:44Taasisi moja ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu imelaani vikali hatua ya Umoja wa Falme wa Kiarabu (Imarati) ya kuwaajiri mamluki wa Kisudani wanaotumiwa kupigana bega kwa beba na mbabe wa kivita wa Libya, Jenerali Khalifa Haftar dhidi ya serikali iliyotambuliwa rasmi na jamii ya kimataifa.
-
Saudia yaongoza duniani kwa ufanyaji israfu kubwa katika chakula
Dec 18, 2019 00:41Saudi Arabia inaongoza kati ya nchi 25 duniani zinazomwaga na kutupa jaani kiwango kikubwa zaidi cha chakula.
-
UAE yaanza kujitegenezea silaha, yawakasirisha wauzaji silaha wa Magharibi
Dec 02, 2019 01:16Hatua ya Umoja wa Flame za Kiarabu (UAE) ya kuanza mpango wa kujiundia silaha zake inatazamiwa kuyakasirisha mashirika ya Kimagharibi ambayo huiuzia nchi hiyo silaha.
-
Serikali ya Mansur Hadi yaendelea kulumbana na muungano vamizi wa Saudia huko Yemen
Oct 30, 2019 00:45Waziri wa Mambo ya Nani wa serikali iliyojiuzulu ya Yemen kwa mara nyingin tena imkosoa muungano wa Saudi Arabia katika vita vya Yemen na kutoa wito wa kuundwa serikali isiyokuwa tegemezi nchini humo.
-
Yemen yajibu hatua ya muungano vamizi wa Saudia ya kupuuza mpango wa amani
Oct 03, 2019 10:31Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia utakabiliwa na vipigo visivyo na ukomo iwapo mpango wa amani wa Yemen utafeli.
-
UAE yasema imewashambulia magaidi wanaoungwa mkono na Saudia nchini Yemen
Aug 31, 2019 10:23Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) imewataja mamluki wanaopata himaya ya Saudia Arabi huko kusini mwa Yemen kuwa ni magaidi, nukta ambayo inaashiria ufa mkubwa katika madola hayo mawili ya Kiarabu ambayo yamekuwa yakishirikiana na vita dhidi ya watu wa Yemen.
-
Mashambulizi ya Imarati kusini mwa Yemen na hasira za Mfalme Salman wa Saudia
Aug 30, 2019 22:12Mashambulizi ya ndege za kivita za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) dhidi ya askari wa serikali iliyojiuzulu ya Yemen katika mikoa ya Aden na Abyan yamesababisha mauaji ya watu wasiopungua 40 na kujeruhi wengine zaidi ya 70.
-
Makampuni ya Imarati yanunua ardhi za mji wa Quds kwa ajili ya Wazayuni
Aug 29, 2019 03:22Naibu Mwenyekiti wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina amesema kuwa makampuni ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yananunua ardhi huko Quds na kisha kukabidhi umiliki wa ardhi hizo kwa Waisraeli.
-
Serikali ya Libya yaituhumu UAE kuwa imeshambulia Tripoli kwa mabomu
Aug 25, 2019 21:09Serikali ya Mapatano ya Kitaifa Libya (GNA) inayoongozwa na Waziri MKuu Fayez al-Sarraj imesema ndege za kivita za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimehusika katika kudondosha mabomu katika mji mkuu, Tripoli.