Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Falme za Kiarabu

  • Makumi wauawa na mamia wajeruhiwa katika mapigano kusini mwa Yemen

    Makumi wauawa na mamia wajeruhiwa katika mapigano kusini mwa Yemen

    Aug 11, 2019 14:47

    Ofisi ya Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen imetangaza kuwa, makumi ya watu wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa kwenye mapigano ya karibuni katika mji wa Aden kusini mwa nchi hiyo.

  • Umoja wa Falme za Kiarabu  wataka kuanza mazungumzo kuhusu Yemen

    Umoja wa Falme za Kiarabu wataka kuanza mazungumzo kuhusu Yemen

    Aug 11, 2019 03:46

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Umoja wa Falme za Kiarabu ametaka kuanza mazungumzo kwa ajili ya kuhitimisha hali ya mvutano katika mji wa Aden na kurejesha amani kusini mwa Yemen.

  • Kuendelea siasa za jinai za Saudi Arabia na Imarati nchini Yemen; vita na njama za kuigawa Yemen

    Kuendelea siasa za jinai za Saudi Arabia na Imarati nchini Yemen; vita na njama za kuigawa Yemen

    Jul 31, 2019 07:45

    Katika hali ambayo, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ungali unafuatilia malengo yake ya kuigawa Yemen, Saudi Arabia kwa upande wake nayo imeendelea kutekeleza jinai zake dhidi ya wananchi wasio na hatia wa nchi hiyo masikini ya Kiarabu.

  • Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Iran atoa onyo kwa Marekani na Uingereza

    Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Iran atoa onyo kwa Marekani na Uingereza

    Jul 24, 2019 17:55

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya ulinzi ametoa onyo kwa Uingereza kuhusiana na nia yake ya kujiingiza kwenye eneo la Lango Bahari la Hormuz na kwa Marekani kuhusu nia yake ya kutaka kuanzisha vita vya kijeshi na akaeleza kwamba: Kauli iliyotolewa na Saudi Arabia na Imarati kuhusu kuhitimishwa vita vya Yemen inadhihirisha kushindwa kwao katika vita hivyo.

  • Muhammad Ali al-Houthi: Marekani chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi wa Yemen

    Muhammad Ali al-Houthi: Marekani chanzo kikuu cha matatizo ya wananchi wa Yemen

    Jul 21, 2019 04:23

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapainduzi ya Yemen amesema kuwa, hatua ya serikali za Saudi Arabia na Imarati ya kutekeleza kibubusa siasa za Marekani zimewaletea wananchi wa Yemen matatizo makubwa.

  • Imarati na jitihada za kujinasua katika kinamasi cha vita huko Yemen

    Imarati na jitihada za kujinasua katika kinamasi cha vita huko Yemen

    Jul 19, 2019 02:31

    Msemaji wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unajaribu kila uwezavyo ili kujinasua kwenye kinamasi cha vita huko Yemen; ambapo sasa imeebainika kuwa nchi hiyo tayari imeanza kufanya juhudi kubwa katika uwanja huo.

  • Kwa nini Imarati imeamua kupunguza idadi ya wanajeshi wake huko Yemen?

    Kwa nini Imarati imeamua kupunguza idadi ya wanajeshi wake huko Yemen?

    Jun 30, 2019 04:16

    Baadhi ya duru za habari zimeripoti kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umepunguza idadi ya askari wake waliokuwa katika mji wa Aden huko kusini mwa Yemen.

  • HRW yazilaani Saudia na Imarati kwa kutumia mabomu ya ardhini dhidi ya binadamu

    HRW yazilaani Saudia na Imarati kwa kutumia mabomu ya ardhini dhidi ya binadamu

    Jun 14, 2019 06:38

    Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limezilaani Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu kwa kutumia mabomu ya ardhini dhidi ya binadamu na kuzitaka ziheshimu mkataba unaopiga mafuruku mabomu ya aina hiyo.

  • Milipuko kadhaa mikubwa katika Bandari ya al-Fujairah UAE

    Milipuko kadhaa mikubwa katika Bandari ya al-Fujairah UAE

    May 12, 2019 14:55

    Milipuko kadhaa mikubwa imeripotiwa kujiri katika Bandari ya al-Fujairah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

  • Kuendelea hatua za Imarati katika njia ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

    Kuendelea hatua za Imarati katika njia ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel

    Mar 12, 2019 13:20

    Duru za habari zimeripoti kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) katika kuendeleza hatua zake za kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, kwa mara nyingine tena unajiandaa kupokea timu ya wanamchezo wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS