-
Lawama za Oman kwa nchi za Kiarabu zinazoendesha siasa za kiadui dhidi ya Syria na Yemen
Feb 20, 2019 06:49Yusauf bin Alawi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amehimiza kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) na kuzilaumu baadhi ya nchi za Kiarabu kwa kukwamisha jambo hilo. Bin Alawi ametoa kauli hiyo katika mazungumzo ya ana kwa ana na Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia.
-
Papa na Sheikh Mkuu wa al Azhar wasaini Hati ya Kimataifa ya Amani
Feb 05, 2019 08:08Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis na Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri, Ahmed el-Tayeb wanetia saini Hati ya Kimataifa ya Amani na Kuishi Pamoja kwa Amani Kati ya Dini Mbalimbali.
-
Mamluki 10 wa Imarati wauliwa kusini mashariki mwa Yemen
Jan 04, 2019 16:39Duru za habari zimearifu kuwa mamluki wasiopungua kumi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wameuliwa kwenye mapigano kati ya wanamgambo wanaungwa mkono na nchi hiyo na wenyeji wa mkoa wa Shabwah unaopatikana kusini mashariki mwa Yemen.
-
Jumapili, Disemba Pili, 2018
Dec 02, 2018 03:24Leo ni Jumapili tarehe 24 Rabiul-Awwal, Mfungo Sita 1440, Hijria, sawa na Disemba Pili 2018, Miladia.
-
Waziri wa Ulinzi wa Qatar: Imarati na Saudia zinapaswa kuiomba radhi Qatar
Oct 28, 2018 02:34Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Qatar ameashiria matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Muhammad bin Salman kwamba Saudi Arabia ina hamu ya kuanzisha tena uhusiano na Qatar na kusisitiza kwamba: Nchi nne zilizoisusia na kuiwekea vikwazo Qatar zinapaswa ziiombe radhi.
-
Watawala wa nchi za Kiarabu na ushirikiano wao wa kijasusi na Israel
Oct 21, 2018 13:33Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika: Bahrain, Imarati (UAE) na Saudi Arabia zimesaini mikataba ya kitita kikubwa cha fedha na Israel kwa ajili ya kununua vifaa vya ujasusi kwa utawala huo.
-
Ripoti yafichua: Saudia na UAE zilipanga kuivamia kijeshi Qatar
Aug 02, 2018 08:06Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mwaka jana zilipanga kuishambulia na kuivamia kijeshi Qatar mwanzoni mwa mgogoro wa kidiplomasia uliosababisha kuwekewa mzingiro na vikwazo taifa hilo dogo la Ghuba ya Uajemi.
-
Kukiri kwa kuchelewa Imarati juu ya kushindwa vita Yemen na indhari ya Sana'a kwa Abu Dhabi
Jun 02, 2018 11:47Anwar Gargash, Waziri Mshauri katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Imarati amekiri kushindwa nchi yake katika vita dhidi ya watu wa Yemen na kuongeza kuwa, mtihani wa Yemen umekuwa mgumu na bado unaendelea kuwa mgumu.
-
Associated Press lafichua: Nentayahu alionana na mabalozi wa UAE na Bahrain, Washington
May 13, 2018 15:42Shirika la habari la Associated Press limefichua kuwa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na mabalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Bahrain nchini Marekani mnamo mwezi Machi mwaka huu, hatua inayozidi kuweka wazi uhusiano mzuri uliopo kati ya Israel na baadhi ya nchi za Kiarabu.
-
Wakazi wa kisiwa cha Socotra Yemen waandamana kulalamikia uvamizi wa Imarati
May 07, 2018 15:00Raia wa Yemen wanaoishi katika kisiwa cha Socotra kwa siku ya pili mtawalia wamefanya maandamano kulalamikia uwepo wa wanajeshi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kisiwani humo.