Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Falme za Kiarabu

  • Harakati za kigaidi za Imarati nchini Yemen

    Harakati za kigaidi za Imarati nchini Yemen

    Apr 08, 2018 06:59

    Afisa mmoja wa ngazi za juu wa usalama katika mkoa wa Aden, kusini mwa Yemen amefichua kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati inafanya mauaji makubwa katika mkoa huo kama njia ya kuzidi kujipenyeza Abu Dhabi huko kusini mwa Yemen na jitihada zake za kutaka kuigawa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Radiamali ya Iraq dhidi ya misimamo ya uingiliaji ya Imarati

    Radiamali ya Iraq dhidi ya misimamo ya uingiliaji ya Imarati

    Mar 22, 2018 02:20

    Ahmad Mahbub, msemaji wa chombo cha diplomasia cha Iraq ametoa taarifa akimtahadharisha Anwar Qarqash, Waziri Mshauri katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuhusiana na matamshi yake yasiyo ya uwajibikaji, alipozitaja shughuli za wapiganaji wa kujitolea wa Iraq (Hashd as-Sha'bi) kuwa ni za kigaidi, na kuonya kwamba huenda matamshi kama hayo yakaharibu uhusiano wa nchi mbili.

  • Filamu ya matukio yathibitisha: Saudia na washirika wake walihusika katika njama ya mapinduzi Qatar

    Filamu ya matukio yathibitisha: Saudia na washirika wake walihusika katika njama ya mapinduzi Qatar

    Mar 06, 2018 02:27

    Kanali ya televisheni ya Aljazeera ya Qatar imeonyesha filamu ya matukio (documentary film) iitwayo "Qatar 96" inayothibitisha kuwa Saudi Arabia, Imarati (UAE), Bahrain na Misri zilihusika katika jaribio lililofeli la mapinduzi ya kijeshi la mwaka 1996 nchini Qatar.

  • Jumamosi, Disemba 2, 2017

    Jumamosi, Disemba 2, 2017

    Dec 02, 2017 04:11

    Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe Pili Disemba 2017 Miladia.

  • Imarati: Muungano wa kijeshi wa Saudia unapaswa kuishambulia kwa bomu al-Jazeera

    Imarati: Muungano wa kijeshi wa Saudia unapaswa kuishambulia kwa bomu al-Jazeera

    Nov 26, 2017 13:15

    Afisa mwandamizi wa usalama wa Umoja wa Falme za Kiarabu ametoa mwito kwa muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia kuishambulia kwa bomu kanali ya televisheni ya al-Jazeera ya Qatar.

  • Qatar yafichua nyaraka za uungaji mkono wa Saudia na Imarati kwa magaidi wa Al-Qaeda nchini Yemen

    Qatar yafichua nyaraka za uungaji mkono wa Saudia na Imarati kwa magaidi wa Al-Qaeda nchini Yemen

    Aug 21, 2017 02:27

    Qatar imefichua nyaraka zinazoonyesha kuwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zinawaunga mkono magaidi wa mtandao wa Al-Qaeda na kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini Yemen.

  • Mansur Hadi akiri Imarati imevamia maeneo ya kistratijia ya Yemen

    Mansur Hadi akiri Imarati imevamia maeneo ya kistratijia ya Yemen

    Aug 18, 2017 08:32

    Katika malumbano yake na Mohammed bin Zayed Al Nahyan, mrithi wa kiti cha ufalme wa Abu Dhabi na Naibu Kamanda wa Jeshi la Imarati, Abdrabbuh Mansur Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyetangaza kujiuzulu na kutoroka nchi amekiri kwamba nchi hiyo imeivamia kijeshi Yemen.

  • Baada ya Saudia, Imarati nayo yazusha balaa, yataka HAMAS ipinduliwe Ghaza

    Baada ya Saudia, Imarati nayo yazusha balaa, yataka HAMAS ipinduliwe Ghaza

    Jul 20, 2017 07:56

    Katika kile kinachoonekana wazi ni kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na kuwasahulisha walimwengu jinai hizo, Umoja wa Falme za Kiarabu nao umetaka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ipinduliwe katika Ukanda wa Ghaza.

  • Kuzidi kutokota mgogoro ndani ya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Kuzidi kutokota mgogoro ndani ya Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Jul 17, 2017 09:58

    Baada ya Rex Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kushindwa kupatanisha mgogoro wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi ulioanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya Qatar, maafisa wa kijasusi wa Marekani wametangaza kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati ndiyo iliyodukua mitandao ya Intaneti ya Qatar na kuzua mgogoro uliopo hivi sasa.

  • Imarati yazidi kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Imarati yazidi kuimarisha uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Jun 05, 2017 07:46

    Uhusiano wa kiraifiki baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu au Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel umezidi kufichuka baada ya kubainika kuwa pande hizo mbili zina miradi ya pamoja ya kiuchumi na zinafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS