-
UN yawasilisha ombi la msaada wa dola bilioni moja kusaidia waathirika wa Zilzala Uturuki
Feb 17, 2023 04:02Umoja wa Mataifa umezindua ombi la dola bilioni moja kwa ajili ya usaizidi wa kibinadamu kwa wananchi wa Uturuki wanaokumbwa na machungu kufuatia tetemeko kubwa zaidi la ardhi kuwahi kukumba taifa hilo katika kipindi cha karne.
-
UN yaikosoa Tunisia kwa kuwawekea mbinyo wakosoaji na wapinzani
Feb 16, 2023 23:20Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa umoja huo unatiwa wasiwasi na kushtadi wimbi la kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa kisiasa na wapinzani wa serikali ya Rais Kais Saeid wa Tunisia.
-
UN yailaumu Ukraine kwa kuwanyanyasa mateka wa vita wa Russia
Feb 11, 2023 03:54Msemaji wa Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu ukatili unaofanywa na serikali ya Ukraine dhidi ya mateka wa kivita wa Russia.
-
Onyo kuhusu ongezeko la vijasumu sugu (superbacteria)
Feb 11, 2023 03:54Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu ongezeko la bakteria sugu (superbacteria) duniani.
-
Katibu Mkuu wa UN: Dunia inaelekea katika vita vikubwa zaidi
Feb 07, 2023 02:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, hatua zozote za kuchochea mgogoro wa Russia na Ukraine huenda zikaitumbukiza dunia katika vita vipana na vikubwa zaidi.
-
UN imetaka kufanyika uchunguzi kuhusu uwezekano wa kuhusika Wagner katika uhalifu wa kivita huko Mali
Feb 01, 2023 08:44Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametaka kufanyike uchunguzi huru ili kubaini iwapo vikosi vya serikali na mkandarasi wa jeshi la kujitegemea la Russia kwa jina la "kundi la wanamgambo wa Wagner" vimehusika na uhalifu wa kivita na dhidi ya binadamu nchini Mali.
-
ICJ yapokea rasmi ombi la UN juu ya kughusubiwa ardhi za Wapalestina na Israel
Jan 21, 2023 23:01Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imepokea rasmi ombi la Umoja wa Mataifa la kutaka maoni ya ushauri kutoka kwa chombo hicho juu ya taathira za Israel kughusubu na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Mashirika ya kimataifa yaomba kupatiwa bajeti ili kupambana na utapiamlo kwa watoto
Jan 13, 2023 04:06Mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa yametoa taarifa ya pamoja yakiomba kupatiwa hara bajeti ili kuwasaidia watoto milioni 40 wanaosumbuliwa na utapiamlo mkali.
-
UN yakaribisha usitishaji vita uliotekelezwa na Russia Ukraine
Jan 07, 2023 04:05Martin Griffiths, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Masuala ya Kibinadamu, amesema usitishaji mapigano wa upande mmoja uliotekelezwa na Russia ni fursa ya kutuma misaada ya kibinadamu kwa watu katika maeneo yaliyoathiriwa na vita.
-
Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha
Jan 01, 2023 03:54Waziri Mkuu wa Israel amesema azimio jipya lililopitishwa dhidi ya utawala huo haramu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa halina maana wala umuhimu wowote.