-
UN yataka kufanyike uchunguzi kuhusu mauaji kaskazini mwa Burkina Faso
Nov 16, 2022 22:51Msemaji wa Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kufanyika uchunguzi haraka iwezekanavyo kuhusu madai ya kuuliwa raia kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Umoja wa Mataifa waionya Twitter kuhusu matamshi ya kueneza chuki, ubaguzi
Nov 01, 2022 23:17Rekodi mbaya ya mmiliki mpya wa Twitter, Elon Musk ya kuchukua misimamo isiyo ya kawaida na kuibua masuala yenye utata imeufanya Umoja wa Mataifa kumuonya dhidi ya kuchapisha maudhui yoyote ya chuki katika mtandao wa kijamii wa Twitter.
-
ILO yatoa indhari: Fursa za ajira duniani zinazidi kupungua
Nov 01, 2022 03:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Kazi Duniani, ILO limetoa ripoti yake inayotahadharisha kuwa ukosefu wa ajira na ukosefu wa usawa vyote vitaendelea kuongezeka duniani kutokana na majanga lukuki yanayoingiliana ya kiuchumi na kisiasa na hivyo kutishia kukwamuka kwa soko la ajira ulimwenguni.
-
Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani
Oct 29, 2022 07:45Akizungumza juzi Alhamisi katika Kongamano la Valdai, Rais Vladmir Putin wa Russia amekosoa mfumo na siasa za Magharibi na kueleza kuwa nchi za Magharibi zilimuua Luteni Jenerali Soleimani; katika hali ambayo shakhsia huyo alikuwa kiongozi rasmi nchini mwake na kuongeza kwamba Wamagharibi si tu hawajakana jambo hilo bali wanajifakharisha nalo.
-
Mafuriko yasababisha watu milioni 3.4 kupoteza makazi yao magharibi, katikati mwa Afrika
Oct 29, 2022 00:50Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema mamilioni ya watu wamepoteza makazi yao katika nchi za magharibi na katikati mwa Afrika kutokana na mafuriko.
-
Mashtaka rasmi ya Russia kwa Umoja wa Mataifa kuhusu maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine
Oct 28, 2022 22:54Russia imepeleka malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuwepo kwa maabara za silaha za kibiolojia za Marekani nchini Ukraine. Vasily Nebenzia, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa, amethibitisha kwamba nchi yake imekusanya ushahidi wa kutosha kuhusu uwepo wa maabara ya silaha hizo za kibiolojia za Marekani huko Ukraine.
-
Barua ya Troika ya Ulaya kwa Umoja wa Mataifa: Mwendelezo wa vita vya kisiasa na kipropaganda dhidi ya Iran
Oct 22, 2022 23:05Katika barua yake kwa Umoja wa Mataifa, Troika ya Umoja wa Ulaya inayojumuisha Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, imekariri madai ambayo hayajathibitishwa kwamba Russia inatumia ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine, na imeutaka Umoja wa Mataifa kuchunguza iwapo huo ni ukiukaji ya Azimio 2231 la Baraza la Usalama au la
-
Tume ya UN yawasilisha ripoti ya jinai za kivita zilizofanywa na Ukraine
Oct 19, 2022 07:05Tume ya Umoja wa Mataifa inayofuatilia haki za binadamu imerekodi kwa uchache kesi mbili za uhalifu wa kivita uliofanywa na jeshi la Ukraine katika mzozo wa nchi hiyo na jeshi la Russia.
-
Guterres: Hali ya mambo Ethiopia huenda isidhibitike tena
Oct 18, 2022 04:05Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hali ya mambo nchini Ethiopia na kutoa mwito kwa pande hasimu katika mgogoro wa eneo la Tigray la kaskazini mwa nchi kuhitimisha mvutano na uhasama baina yao.
-
AU na UN: Sasa kila mtu mmoja kati ya watano Afrika anakabiliwa na njaa
Oct 13, 2022 04:28Takwimu za karibuni kabisa zinaonyesha kuwa, mtu mmoja kati ya kila watu watano barani Afrika anakabiliwa na njaa, huku uhaba wa chakula na utapiamlo ukiongezeka katika bara hilo. Hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa.