Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Kukosolewa ukwamishaji wa Marekani wa safari za wawakilishi wa nchi mbalimbali kuelekea Umoja wa Mataifa

    Kukosolewa ukwamishaji wa Marekani wa safari za wawakilishi wa nchi mbalimbali kuelekea Umoja wa Mataifa

    Oct 10, 2019 03:02

    Kwa kuzingatia kuwa, makao makuu ya Umoja wa Mataifa yapo mjini New York, siku zote Marekani imekuwa ikilitumia suala la kutoa visa kwa jumbe na washiriki wa mikutano na vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kuzishinikiza nchi zinazoipinga na zisizokubaliana na siasa zake.

  • UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea

    UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea

    Oct 05, 2019 08:53

    Mchunguzi huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu Myanmar amesema mamia ya maelfu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya waliorejea mkoani Rakhine wakitokea Bangladesh wanakandamizwa na kuandamwa na kila aina ya dhuluma na kwa msingi huo, Myanmar sio salama kwa Warohingya zaidi kurejea.

  • Ukosoaji mkali wa Sergey Lavrov kuhusiana na miamala haribifu ya Marekani dhidi ya mapatano ya JCPO na Ghuba ya Uajemi

    Ukosoaji mkali wa Sergey Lavrov kuhusiana na miamala haribifu ya Marekani dhidi ya mapatano ya JCPO na Ghuba ya Uajemi

    Sep 29, 2019 23:06

    Hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na kisha kuiwekea Iran vikwazo vikali ambavyo vilikuwa havijawahi kushuhudiwa tena huko nyuma, na baada ya hapo kuzidisha uwepo wake wa kijeshi katika Ghuba ya Uajemi ambao umeshadidisha mizozo katika eneo hilo la kistratijia, ni mambo ambayo yameizidishia wasi wasi serikali ya Russia.

  • Rais Rouhani akosoa kimya cha Umoja wa Mataifa kuhusu ugaidi wa kiuchumi Marekani dhidi ya Iran

    Rais Rouhani akosoa kimya cha Umoja wa Mataifa kuhusu ugaidi wa kiuchumi Marekani dhidi ya Iran

    Sep 26, 2019 01:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na kukosoa kimya cha umoja huo mbele ya ugaidi wa kiuchumi wa serikali ya Marekani dhidi ya taifa la Iran.

  • Rais Rouhani: Katu hatutofanya mazungumzo na adui chini ya vikwazo

    Rais Rouhani: Katu hatutofanya mazungumzo na adui chini ya vikwazo

    Sep 25, 2019 12:52

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa taifa hili kufanya mazungumzo na adui likiwa chini ya mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu na vilivyo kinyume cha sheria.

  • Zarif na Mogherini wajadili njia za kuinusuru JCPOA

    Zarif na Mogherini wajadili njia za kuinusuru JCPOA

    Sep 24, 2019 04:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javaad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini na wawili hao wamejadili njia za kulinda na kudumisha makubaliano ya JCPOA.

  • Maandamano dhidi ya Trump New York kabla ya mkutano wa UNGA

    Maandamano dhidi ya Trump New York kabla ya mkutano wa UNGA

    Sep 24, 2019 04:25

    Maandamano makubwa dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani yameshuhudiwa mjini New York usiku wa kuamkia leo, masaa machache kabla ya kuanza mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini humo.

  • Marekani na utumiaji wa viza kama wenzo wa mashinikizo dhidi ya washiriki katika vikao vya UN

    Marekani na utumiaji wa viza kama wenzo wa mashinikizo dhidi ya washiriki katika vikao vya UN

    Sep 19, 2019 06:57

    Marekani ambayo ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York daima imekuwa ikitumia suala la kutoa viza kwa jumbe na maafisa wa nchi mbalimbali wanaotaka kushiriki vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kutoa mashinikizo dhidi ya nchi zinazopinga sera za kibeberu za nchi hiyo.

  • Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita

    Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita

    Sep 12, 2019 05:55

    Muungano wa kimataifa wa eti kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani uliundwa mwaka 2014 kwa madai ya kukabiliana na genge hilo la kigaidi, na umekuwa ukifanya mashambulizi ya kiholela nchini Syria bila ya kuwa na taathira zozote za maana mbaya kwa genge hilo la ukufurishaji.

  • Vikosi vya Haftar: Hatutaki mazungumzo, mapigano ndiyo njia bora ya suluhu

    Vikosi vya Haftar: Hatutaki mazungumzo, mapigano ndiyo njia bora ya suluhu

    Sep 08, 2019 07:40

    Wapiganaji wa jenerali mstaafu wa Libya, Khalifa Haftar wamepinga mwito wa Umoja wa Mataifa wa kurejea katika meza ya mazungumzo, wakisisitiza kuwa vita ndiyo njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro unaoikabili nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS