Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Umoja wa Mataifa waliunga mkono jeshi la Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda

    Umoja wa Mataifa waliunga mkono jeshi la Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda

    Sep 07, 2019 22:26

    Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwa unaliunga mkono jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda wa ADF.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu dhulma na ukandamizaji Burundi

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu dhulma na ukandamizaji Burundi

    Sep 05, 2019 03:15

    Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema katika ripoti yao waliyoitoa jana kuwa Burundi iko katika hatari ya kukumbwa na wimbi la ukandamizaji mpya wakati ikikaribia kuingia katika uchaguzi mkuu wa 2020. Taarifa hiyo imetolewa huku mgogoro wa kisiasa ulioigubika Burundi ukisalia bila ya ufumbuzi na nchi hiyo ikiwa na Rais anaendelea kujidhihirisha kuwa ni mtawala wa Kimungu.

  • Ripoti ya UN: Marekani, Uingereza na Ufaransa zinahusika kutenda jinai za kivita nchini Yemen

    Ripoti ya UN: Marekani, Uingereza na Ufaransa zinahusika kutenda jinai za kivita nchini Yemen

    Sep 04, 2019 08:10

    Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wameandaa orodha ya siri ya watuhumiwa wa kimataifa waliohusika na jinai za kivita nchini Yemen inayoonyesha kuwa Marekani na nchi kadhaa za Ulaya zimehusika pia katika jinai hizo kwa kuuzuia silaha muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.

  • Zarif: Iran inaunga mkono ushiriki chanya wa Syria na Umoja wa Mataifa

    Zarif: Iran inaunga mkono ushiriki chanya wa Syria na Umoja wa Mataifa

    Sep 03, 2019 08:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuhusu azma ya Tehran ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria kwa njia ya kisiasa na akasema Iran inaunga mkono ushiriki wowote chanya kati ya Damascus na Umoja wa Mataifa.

  • Katibu Mkuu wa UN awasili Congo DR kujadili njia za kukabiliana na Ebola + Sauti

    Katibu Mkuu wa UN awasili Congo DR kujadili njia za kukabiliana na Ebola + Sauti

    Aug 31, 2019 08:48

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewasili katika mji wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma kwa shabaha ya kutathmini na kuchunguza njia za kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola.

  • UN: Wakimbizi wa Rohingya wapewe uhuru wa kurejea Myanmar kwa hiari yao

    UN: Wakimbizi wa Rohingya wapewe uhuru wa kurejea Myanmar kwa hiari yao

    Aug 22, 2019 21:55

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kurejea wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar kunapaswa kufanyika kwa hiari yao wenyewe na bila ya kulazimishwa.

  • Makumi wauawa na mamia wajeruhiwa katika mapigano kusini mwa Yemen

    Makumi wauawa na mamia wajeruhiwa katika mapigano kusini mwa Yemen

    Aug 11, 2019 10:17

    Ofisi ya Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen imetangaza kuwa, makumi ya watu wameuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa kwenye mapigano ya karibuni katika mji wa Aden kusini mwa nchi hiyo.

  • UN: Kila wiki mbili, lugha moja ya asili inapotea duniani

    UN: Kila wiki mbili, lugha moja ya asili inapotea duniani

    Aug 10, 2019 03:14

    Uchunguzi wa Umoja wa Mataifa umebaini kuwa, kila wiki mbili, lugha moja ya asili hupotea.

  • Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano huko Libya

    Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano huko Libya

    Aug 09, 2019 07:39

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya umetoa wito wa kusitishwa mapigano kwa sababu za kibinadamu huko Tripoli mji mkuu wa Libya.

  • Umoja wa Mataifa: Vita vimeirejesha nyuma Yemen miaka 20

    Umoja wa Mataifa: Vita vimeirejesha nyuma Yemen miaka 20

    Jul 31, 2019 03:49

    Mkurugenzi wa Ustawi wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa vita vya uharibifu huko Yemen vimeirejesha nchi hiyo miaka 20 nyuma katika upande wa ustawi na kupatikana huduma za kielimu na mafunzo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS