Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Magaidi elfu 30 wa kundi la Daesh  wangali hai

    UN: Magaidi elfu 30 wa kundi la Daesh wangali hai

    Jul 30, 2019 06:34

    Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh elfu 30 wangali hai.

  • Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa

    Russia yawasilisha mpango wa usalama wa Ghuba ya Uajemi kwa Umoja wa Mataifa

    Jul 30, 2019 06:24

    Uwepo wa kijeshi wa nchi za kigeni katika eneo la Ghuba ya Uajemi na taathira zake mbaya ambazo zimepelekea kuongezeka mivutano ya kisiasa na kijeshi katika eneo, umeipelekea Russia kuwasilisha mpango wa usalama wa eneo hili la kistratijia kwa Umoja wa Mataifa.

  • Ansarullah ya Yemen: Marekani na Umoja wa Mataifa zinachangia jinai za Saudi Arabia

    Ansarullah ya Yemen: Marekani na Umoja wa Mataifa zinachangia jinai za Saudi Arabia

    Jul 30, 2019 02:46

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa, serikali ya Marekani na Umoja wa Mataifa zinabeba jukumu la jinai zinazofanywa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.

  • Al-Sarraj na UN wasisitiza udharura wa kuanza tena mchakato wa kisiasa Libya

    Al-Sarraj na UN wasisitiza udharura wa kuanza tena mchakato wa kisiasa Libya

    Jul 28, 2019 23:48

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya na mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya wametilia mkazo udharura wa kuanzishwa tena mchakato wa kisiasa nchini humo.

  • Katibu Mkuu wa UN: Ubomoaji nyumba za Wapalestina si halali kisheria

    Katibu Mkuu wa UN: Ubomoaji nyumba za Wapalestina si halali kisheria

    Jul 26, 2019 02:56

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, anatiwa wasiwasi na ubomoaji nyumba za Wapalestina unaofanywa na utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa, sera za Israel za kuharibu na kuteketeza mali za Wapalestina haziendani na sheria za kimataifa.

  • UN yakosoa vizingiti vya utawala wa Trump dhidi ya Zarif

    UN yakosoa vizingiti vya utawala wa Trump dhidi ya Zarif

    Jul 16, 2019 03:19

    Umoja wa Mataifa umekosoa vikali hatua ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ya kumwekea vizingiti Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif.

  • UN: Watu milioni 821 wanakabiliwa na njaa duniani

    UN: Watu milioni 821 wanakabiliwa na njaa duniani

    Jul 16, 2019 02:48

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya milioni 821 katika pembe mbalimbali za dunia wanakabiliwa na baa la njaa; mwaka jana 2018 ukiwa mwaka wa tatu mfululizo kwa idadi hiyo kuongezeka kwa kiwango cha kutisha.

  • Hofu ya UN kuhusu kushtadi migogoro katika majimbo ya Somalia

    Hofu ya UN kuhusu kushtadi migogoro katika majimbo ya Somalia

    Jul 09, 2019 03:52

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka migogoro na mivutano baina ya majimbo yenye mamlaka ya ndani nchini Somalia kwa upande mmoja, na majimbo hayo na serikali kuu ya Mogadishu kwa upande mwingine.

  • Jeshi la Sudan Kusini lakanusha madai ya UN kuwa limeua raia

    Jeshi la Sudan Kusini lakanusha madai ya UN kuwa limeua raia

    Jul 04, 2019 21:56

    Jeshi la Sudan Kusini limekanusha vikali madai ya Umoja wa Mataifa kwamba limeua makumi ya raia wa nchi hiyo katika eneo la Central Equatoria.

  • Marekani yakwamisha azimio la Baraza la Usalama kuhusu mauaji ya wahajiri Libya

    Marekani yakwamisha azimio la Baraza la Usalama kuhusu mauaji ya wahajiri Libya

    Jul 04, 2019 03:02

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilimaliza kikao chake cha faragha jana jioni kwa wakati wa New York kuhusiana na Libya bila ya kuafikiana mwafaka kuhusu shambulizi la anga lililolenga makazi ya wahajiri katika eneo la Tajoura huko mashariki mwa Tripoli ambalo limeua wakimbizi 60 na kujeruhi wengine zaidi ya 130.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS