Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Mkutano ujao wa G20 usifanyike Saudia kutokana na mauaji ya Khashoggi

    UN: Mkutano ujao wa G20 usifanyike Saudia kutokana na mauaji ya Khashoggi

    Jul 03, 2019 03:06

    Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa ameyataka madola yenye nguvu kuangalia upya suala la Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa mkutano ujao wa Kundi G20.

  • Lavrov na afisa wa UN wasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mzozo wa Yemen

    Lavrov na afisa wa UN wasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mzozo wa Yemen

    Jul 02, 2019 07:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen wamesisitiza ulazima wa kufanyika juhudi ili kuhitimisha hali ya mgogoro huko Yemen..

  • Syria yaushtaki utawala wa Kizayuni wa Israel Umoja wa Mataifa

    Syria yaushtaki utawala wa Kizayuni wa Israel Umoja wa Mataifa

    Jul 02, 2019 03:14

    Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja huo ikilaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo na kusema uchokozi huo ni sehemu ya njama za Tel Aviv za kutaka kurefusha mgogoro nchini Syria.

  • Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu UN: Muamala wa Karne utashindwa na kugonga ukuta

    Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu UN: Muamala wa Karne utashindwa na kugonga ukuta

    Jun 29, 2019 23:46

    Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema kuwa, mpango wa Kimarekani-Kizayuni wa "Muamala wa Karne" utashindwa na kugonga ukuta.

  • UN: Watoto 7500 wa Kiyemeni wameuawa au kupata ulemavu

    UN: Watoto 7500 wa Kiyemeni wameuawa au kupata ulemavu

    Jun 29, 2019 12:33

    Umoja wa Mataifa umeashiria hali mbaya ya kibinadamu inayoikabili Yemen hivi sasa na kueleza kuwa watoto zaidi ya 7,500 wameuawa au kujeruhiwa nchini humo.

  • UN yalitaka jeshi la Sudan liache kukandamiza wananchi

    UN yalitaka jeshi la Sudan liache kukandamiza wananchi

    Jun 24, 2019 22:47

    Kamishna Mkuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa amewataka wanajeshi wa Sudan waache mara moja kuwakandamiza raia.

  • Katibu Mkuu wa UN: Iran ingali imefungamana na JCPOA

    Katibu Mkuu wa UN: Iran ingali imefungamana na JCPOA

    Jun 21, 2019 06:59

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • UN: Vita vimewafanya watu milioni 71 duniani kuwa wakimbizi

    UN: Vita vimewafanya watu milioni 71 duniani kuwa wakimbizi

    Jun 19, 2019 03:09

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema takriban watu milioni 71 wamelazimika kuwa wakimbizi kutokana na vita na mapigano katika kona mbalimbali za dunia.

  • Mtaalamu wa UN aondoka Comoro baada ya kuzuiwa kufanya kazi

    Mtaalamu wa UN aondoka Comoro baada ya kuzuiwa kufanya kazi

    Jun 18, 2019 22:09

    Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu utesaji, Nils Melzer, amesitisha ziara yake aliyokuwa afanye Comoro, baada ya kukumbwa na vizuizi kadhaa.

  • UN: Raia 42 wameuawa katika mapigano nchini Libya

    UN: Raia 42 wameuawa katika mapigano nchini Libya

    Jun 15, 2019 08:01

    Umoja wa Mataifa umesema mapigano baina ya vikosi vya kamanda muasi wa Libya, Jenerali Khalifa Haftar na Fayez al-Sarraj, Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoungwa mkono na jamii ya kimataifa katika mji mkuu Tripoli yamesababisha vifo vya raia 42, huku wengine zaidi ya 120 wakijeruhiwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS