Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Guterres ataka uchunguzi huru wa kushambuliwa meli za mafuta Bahari ya Oman

    Guterres ataka uchunguzi huru wa kushambuliwa meli za mafuta Bahari ya Oman

    Jun 15, 2019 03:45

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa tukio la kushabuliwa meli za mafuta katika Bahari ya Oman.

  • UN: 60% ya wananchi wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa

    UN: 60% ya wananchi wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa

    Jun 15, 2019 03:28

    Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema jumla ya watu milioni 7 sawa na asilimia 60 ya jamii nzima ya Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa.

  • UN: Idadi ya waliouawa Darfur nchini Sudan ni watu 17

    UN: Idadi ya waliouawa Darfur nchini Sudan ni watu 17

    Jun 13, 2019 21:58

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa kwa akali watu 17 wameuawa katika kijiji cha Deleij katikati mwa jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan.

  • Tunisia na Niger zachaguliwa kuwa wanachama wa Baraza la Usalama

    Tunisia na Niger zachaguliwa kuwa wanachama wa Baraza la Usalama

    Jun 08, 2019 02:26

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Ijumaa lilizichagua nchi tano wanachama wa umoja huo kuwa wanachama wasio wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuanzia mwezi Januari mwakani.

  • UN yapuuzilia mbali mkutano wa Manama wa kujadili mpango wa

    UN yapuuzilia mbali mkutano wa Manama wa kujadili mpango wa "Muamala wa Karne"

    May 31, 2019 03:43

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa hautashiriki katika mkutano wa Kiuchumi uliopangwa kufanyika Manama mji mkuu wa Bahrain khususan kujadili mpango kwa jina la "Muamala wa Karne."

  • Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya kutumika silaha za nyuklia

    Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya kutumika silaha za nyuklia

    May 24, 2019 02:35

    Kuwepo maghala ya silaha hatari za nyuklia katika pembe tofauti za dunia, kuongezwa na kuimarishwa silaha hizo na vilevile kujiunga nchi mpya na kundi la nchi zinazomiliki silaha hizo ni jambo linalohatarisha amani na uslama wa dunia.

  • UN  yamteua afisa  kupambana na Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    UN yamteua afisa kupambana na Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    May 23, 2019 06:47

    Umoja wa Mataifa umemteuwa Mratibu wa Hatua za Dharura za Kukabiliana na Maradhi ya Ebola ambaye atasaidia kuimarisha jitihada za kukomesha kuenea maradhi ya Ebola yaliyodumu kwa miezi kumi sasa huko Kongo DRC na kuua watu zaidi ya 1,200.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali inavyozidi kuwa mbaya nchini Libya

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali inavyozidi kuwa mbaya nchini Libya

    May 23, 2019 03:43

    Kuendelea vita nchini Libya kumezidisha machafuko na mgogoro katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kiasi kwamba Ghassan Salamé, mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema katika ripoti yake ya hivi karibuni kabisa kwamba, hatoi tahadhari kuhusu kutokea vita vya ndani na vya umwagaji damu tu, bali anatoa onyo la kusambaratika vipande vipande Libya.

  • Libya katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe

    Libya katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe

    May 22, 2019 03:26

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameonya kuwa, taifa hilo lenye utajiri wa mafuta liko katika ncha ya kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vitaigawa nchi hiyo mapande mapande.

  • UN: Kuna uwezekano mkubwa wakati huu wa kutumika silaha za nyuklia

    UN: Kuna uwezekano mkubwa wakati huu wa kutumika silaha za nyuklia

    May 22, 2019 02:00

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Utafiti wa Upokonyaji Silaha UNIDIR amesema hatari na uwezekano wa kutumika silaha za nyuklia duniani hii leo uko juu kuliko wakati mwingine wowote ule.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS