-
UN: Somalia imepiga hatua, lakini ipambane na ugaidi na ufisadi
May 21, 2019 23:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema Somalia imepiga hatua kuelekea katika uundwaji wa dola thabiti, lakini bado ina kibarua cha kupambana na ugaidi, misimamo mikali ya kuchupa mipaka na ufisadi.
-
UN yaitaka dunia isitishe uhusiano wa kifedha na jeshi la Myanmar
May 14, 2019 07:12Timu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imezitaka nchi za dunia kusitisha miamala ya kifedha na jeshi la Myanmar linaloendelea kuua Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mkoa wa Rakhine.
-
Guterres akutana na waathiriwa wa shambulizi la kigaidi la New Zealand
May 14, 2019 03:19Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametadharisha kuwa, matamshi ya chuki na kibaguzi yanaenea kwa kasi ya kutisha mitandaoni, na kusisitiza kuwa UN itaongoza jitihada za kupambana na tatizo hilo.
-
UN: Wapalestina 1,700 wa Gaza katika hatari ya kukatwa miguu
May 09, 2019 08:03Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeeleza wasiwasi mkubwa ilionao kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, na kubainisha kuwa mamia ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wako katika hatari ya kusababishiwa ulemavu wa maisha kutokana na majeraha ya risasi za jeshi katili la utawala wa Kizayuni.
-
UN: Yumkini Imarati imehusika katika mashambulizi ya Libya
May 07, 2019 03:26Jopo la Wataalamu wa Umoja wa Mataifa linatathmini mashambulizi ya makombora dhidi ya mji mkuu wa Libya, Tripoli, sanjari na kuchunguza uwezekano wa kutumika ndege zisizo na rubani 'drone' za Umoja wa Falme za Kiarabu katika hujuma hizo.
-
UN yatoa mwito wa kusitishwa mapigano kwa muda nchini Libya
May 06, 2019 06:40Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL kimezitaka pande husika kusitisha mapigano kwa muda wa wiki moja kuanzia leo Jumatatu, katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Iran yakosoa sera haribifu za Marekani katika kuzuia utekelezwaji wa azimio nambari 2231
May 02, 2019 02:23Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa umekosoa sera za Marekani za kuzuia utekelezwaji wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama na kuzitaja sera hizo kuwa haribifu na kusisitiza kwamba azimio hilo halijaweka kizuizi katika mpango wa kawaida wa makombora ya Iran.
-
Alkhamisi, Mei Pili, 2019
May 01, 2019 20:45Leo ni Alkhamisi tarehe 26 Sha'aban 1440 Hijria, mwafaka na tarehe Pili Mei, 2019.
-
Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na kuharibika kwa hali ya kibinadamu Libya
Apr 29, 2019 09:28Naibu Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameelezea wasiwasi wake kuhusiana na kuendelea kuharibika kwa hali ya nchi hiyo na kusema kuwa huenda hali ya kibinadamu katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, ikaharibika zaidi.
-
Malalamiko ya pamoja ya nchi za dunia dhidi ya siasa za vikwazo za Marekani
Apr 17, 2019 01:45Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kibeberu, hivi sasa Washington imeongeza kasi kubwa ya kuziwekea vikwazo vya kiholela nchi mbalimbali duniani.