Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza

    Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza

    Sep 01, 2025 03:54

    Malaysia imeitaka Jamii ya Kimataifa isimamishe uwanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa na kuuwekea vikwazo vikali utawala huo ghasibu.

  • Wasia wa ripota Mpalestina aliyeuliwa kigaidi na Israel kwa walimwengu: 'Msiisahau Ghaza'

    Wasia wa ripota Mpalestina aliyeuliwa kigaidi na Israel kwa walimwengu: 'Msiisahau Ghaza'

    Aug 11, 2025 07:19

    Anas al-Sharif, ripota mashuhuri wa chaneli ya Al Jazeera aliyeuliwa shahidi pamoja na wenzake wanne katika shambulio la makusudi lililofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel kwenye hema la waandishi wa habari katika Mji wa Ghaza, amewaomba walimwengu katika wasia wake wasiisahau Ghaza iliyowekewa mzingiro pamoja na watu wa Palestina.

  • UNICEF: Watoto wanafariki Ghaza kwa kasi ambayo 'haijawahi kushuhudiwa'

    UNICEF: Watoto wanafariki Ghaza kwa kasi ambayo 'haijawahi kushuhudiwa'

    Aug 02, 2025 09:46

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za haraka ili kuzuia vifo vingi vya watoto katika Ukanda wa Ghaza, ambako hali inaendelea kuwa mbaya wakati huu wa vita vinavyoendelezwa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo uliloliwekea mzingiro.

  • Maafisa wa Uingereza na Umoja wa Mataifa waitaka London kulitambua rasmi taifa la Palestina

    Maafisa wa Uingereza na Umoja wa Mataifa waitaka London kulitambua rasmi taifa la Palestina

    Jul 24, 2025 08:39

    Zaidi ya maafisa 50 wa zamani wa Uingereza na Umoja wa Mataifa wamemwandikia barua Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer wakimtaka alitambue rasmi taifa la Palestina.

  • UN yasema SDG hatarini kuweza kufikiwa katika anga ya kisiasa iliyopo

    UN yasema SDG hatarini kuweza kufikiwa katika anga ya kisiasa iliyopo

    Jul 22, 2025 14:36

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito kwa dunia kuongeza kasi na dhamira ya kweli katika kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) yanayofikia ukomo wake 2030, akisisitiza kuwa malengo hayo yako hatarini kuweza kufikiwa katika anga ya kisiasa iliyopo hivi sasa duniani.

  • WFP: Theluthi moja ya watu wa Ghaza hawajala kwa siku kadhaa kutokana na mzingiro wa Israel

    WFP: Theluthi moja ya watu wa Ghaza hawajala kwa siku kadhaa kutokana na mzingiro wa Israel

    Jul 22, 2025 06:35

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, theluthi moja ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza hawajala kwa siku kadhaa kutokana na mzingiro unaoendelea kuwekwa na utawala wa kizayuni wa Israel kwenye eneo hilo la Palestina.

  • Katibu Mkuu wa UN apongeza makubaliano ya amani ya DRC na M23

    Katibu Mkuu wa UN apongeza makubaliano ya amani ya DRC na M23

    Jul 21, 2025 03:11

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amekaribisha kwa mikono miwili hatua ya kutiwa saini kwa Azimio la Kanuni kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi la waasi la M23.

  • Iran yakanusha ‘madai hewa’ ya US kuhusu hali ya Yemen na Bahari Nyekundu

    Iran yakanusha ‘madai hewa’ ya US kuhusu hali ya Yemen na Bahari Nyekundu

    Jul 17, 2025 07:19

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametupilia mbali tuhuma zilizotolewa hivi karibuni na Marekani dhidi ya Iran kuhusu hali ya Yemen na Bahari Nyekundu akisema "hazina msingi wowote" na akalaani ushiriki wa kijeshi wa Washington katika hujuma dhidi ya Yemen.

  • Unajua kwa nini Marekani imemuwekea vikwazo Ripota Maalumu wa UN kuhusu Maeneo ya Palestina Yanayokaliwa kwa Mabavu?

    Unajua kwa nini Marekani imemuwekea vikwazo Ripota Maalumu wa UN kuhusu Maeneo ya Palestina Yanayokaliwa kwa Mabavu?

    Jul 10, 2025 22:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, alitangaza Jumatano, Julai 9, kwamba atamuwekea vikwazo Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo ya Palestina Yanayokaliwa kwa Mabavu, kwa kile alichokiita "juhudi zisizo halali zinazohusiana na uchunguzi wake kuhusu vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza" na eti kwa kuchukua "hatua dhidi ya maafisa wa Marekani na Israel."

  • Umoja wa Mataifa 'washtushwa' na mauaji ya waandamanaji Kenya

    Umoja wa Mataifa 'washtushwa' na mauaji ya waandamanaji Kenya

    Jul 08, 2025 10:50

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi mkubwa juu ya vifo vya watu zaidi ya 10 nchini Kenya, ambapo polisi na waandamanaji walikabiliana wakati wa maandamano ya kupinga sera za serikali ya nchi hiyo Jumatatu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS