-
EU yajipanga kutoa misaada kwa Libya na Tunisia ili kuzuia wahajiri wasielekee Ulaya
May 20, 2021 23:07Kamishna wa Mambo ya Ndani katika Umoja wa Ulaya (EU) Ylva Johansson, amesema umoja huo unashauriana na Tunisia na Libya ili kufikia mapatano yatakayowezesha kuzuia wahajiri wasielekee barani ya Ulaya.
-
Maafa makubwa ya kibinadamu yanalijongelea eneo la Tigray, Ethiopia
May 15, 2021 02:33Umoja wa Ulaya umelaani msimamo wa serikali ya Ethiopia wa kuendelea kufunga njia za kufikishwa misaada ya kibinadamu katika eneo lililoharibiwa na vita la Tigray, la kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Mzozo mkubwa baina ya Uingereza na Ufaransa, matunda ya awali ya kiusalama ya Brexit
May 08, 2021 21:41Baada ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kwa jina la Brexit, sasa hivi matunda na matokeo mabaya ya kujitoa huko yameanza kuonekana katika nyuga mbalimbali.
-
EU: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina ni kinyume cha sheria
May 06, 2021 03:49Msemaji wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa, ujenzi wa vitengoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina ni haramu na unapaswa kusitishwa.
-
Kuongezeka mivutano baina ya Russia na Umoja wa Ulaya
May 02, 2021 04:49Mivutano baina ya Russia na Umoja wa Ulaya imeongezeka sana hivi sasa. Kuwekeana vikwazo viongozi wa kisiasa wa pande mbili ni silaha kuu inayotumiwa na pande hizo kuonesha ukubwa wa mivutano hiyo.
-
Ijumaa, 30 Aprili, 2021
Apr 29, 2021 22:39Leo ni Ijumaa tarehe 17 Ramadhani 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 30 Aprili mwaka 2021.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kwenda sambamba na Washington na Tel Aviv
Apr 14, 2021 08:18Baraza la Umoja wa Ulaya Jumatatu tarehe 12 mwezi huu wa Aprili liliwajumuisha maafisa 8 na taasisi 3 katika ordha ya vikwazo dhidi ya Iran kwa kisingizio cha eti kukiuka haki za binadamu. Aidha baraza hilo limechukua uamuzi wa kurefusha hatua zake dhidi ya Iran hadi tarehe 13 mwezi Aprili mwaka kesho kwa kisingizio cha kile ilichokitaja kuwa ukiukaji wa haki za binzdamu.
-
Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran
Apr 08, 2021 03:37Kikao cha 18 cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kilifanyika juzi Jumanne huko Vienna mji mkuu wa Austria kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa kundi la 4+1 na pia Iran. Nchi wanachama wa mapatano ya JCPOA baada ya majadiliano na kuchunguza mapatano hayo zimekubaliana kuendeleza mashauriano katika ngazi ya kitaalamu ili kuiondolea Iran vikwazo.
-
Kansela wa Austria akososa "mchezo mchafu" wa EU katika ugavi wa chanjo ya corona
Mar 31, 2021 02:41Kansela Sebastain Kurz wa Austria ameutuhumu Umoja wa Ulaya kuwa haugawi kwa uadilifu chanjo ya corona na kueleza kwamba nchi yake iko kwenye mazungumzo na Russia ya kununua dozi milioni moja za chanjo iliyotengenezwa na nchi hiyo ya Sputnik V.
-
Guterres: Nchi tajiri ziache ubaguzi na ukiritimba katika ugavi wa chanjo ya corona
Mar 29, 2021 06:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa ugavi usio wa kiadilifu wa chanjo ya virusi vya corona duniani na kuzitaka nchi tajiri ambazo zinajilimbikizia kiwango kikubwa sana cha chanjo ya corona kutoa baadhi ya chanjo hiyo kwa nchi nyingine za dunia.