-
Marufuku ya kuuza chanjo ya corona kwa nchi nyingine kutoka Ulaya
Mar 27, 2021 21:48Wakati wimbi la maambukizi ya virusi vya corona likiendelea kusambaa kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani na kuchukua roho za maelfu ya watu, kunaendelea kushuhudiwa suala la kutokuwepo usawa katika ugavi wa chanjo ya ugonjwa huo wa Covid-19.
-
Sisitizo la Venezuela la kutaka Umoja wa Ulaya uachane na fikra za kikoloni
Mar 25, 2021 22:25Siasa za uingiliaji mambo za Marekani za washirika wake wa Magharibi zingali zinaendelea katika akthari ya nchi za Amerika ya Latini.
-
Borrell: Nitafanya kila niwezalo kuinusuru JCPOA
Mar 20, 2021 23:53Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema atafanya juu chini ili kuyalinda na kuyabakisha hai makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA.
-
Indhari kuhusu ubaguzi katika utoaji chanjo ya COVID-19 duniani
Mar 15, 2021 23:07Ingawa kugunduliwa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona ni jambo ambalo liliibua matumaini duniani kote, lakini ugavi usio wa kiudilifu wala usawa wa chanjo hiyo ni jambo ambalo limewakasirisha wengi na hata kuibua kelele katika baadhi ya nchi za Umoja wa Ulaya. Kuhusiana na nukta hiyo Kansela Sebastian Kurz wa Austira amesema hakuna uadilifu katika usambazwaji chanjo ya COVID-19 barani Ulaya.
-
Bunge la Ulaya latahadharisha kuhusu njama za Israel za kutwaa Ukingo wa Magharibi
Mar 02, 2021 07:12Wabunge wa Bunge la nchi 22 za Ulaya wameutaka Umoja wa Ulaya kuzuia mikakati ya utawala ghasibu wa Israel ya kutaka kulikalia kwa mabavu na kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi huko Palestina.
-
Khatibzadeh: Huu si wakati mwafaka wa kuitishwa kikao cha JCPOA
Feb 28, 2021 23:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, kwa kutilia maanani misimamo na hatua za karibuni za nchi tatu za Ulaya na Marekani, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaona kuwa huu si wakati mwafaka wa kufanyika kikao kisicho rasmi kilichopendekezwa na Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya baina ya nchi hizo na Tehran kuhusu kadhia ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Sisitizo la kusimama kidete Venezuela mbele ya vita vya kiuchumi vya Marekani na Ulaya
Feb 26, 2021 08:34Kutokana na kuendelea sera za vikwazo za Marekani na madola ya Ulaya, dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo amesisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kusimama kidete mkabala wa sera hizo ambazo amesema kuwa ni “vita vya kiuchumi vya pande kadhaa”.
-
Umoja wa Ulaya wakerwa na usimamishwaji wa protokali ziada ya NPT
Feb 26, 2021 04:20Umoja wa Ulaya umetoa taarifa ukibainisha kutoridhishwa kwake na uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuanza kutekeleza sheria iliyopitishwa na Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) kwa ajili ya kusimamisha utekelezaji wa protokali ziada ya mkataba wa NPT.
-
Borrell akiri kuwa Iran inafungamana na mapatano ya JCPOA na kwamba Ulaya ndio inayoyakiuka
Feb 24, 2021 08:08Baada ya kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) zimekuwa na utendajikazi hasi katika uga wa kulinda mapatano hayo na pia katika kutekeleza ahadi zao. Hii ni Katika hali ambayo Iran imetekeleza ahadi zake kikamilifu katika mapatano ya JCPOA. Hivi sasa afisa wa ngazi za juu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya amekiri ukweli huo.
-
Caracas yajibu vikwazo vya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Venezuela
Feb 23, 2021 09:40Viongozi wa Caracas wamelaani "vita vya kiuchumi vya pande kadhaa" za Umoja wa Ulaya na Marekani dhidi ya Venezuela.