-
Russia yatishia kukata uhusiano na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo vipya
Feb 12, 2021 08:15Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa nchi hiyo iko tayari kukata uhusiano wake na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo zaidi vinavyotishia uchumi wake kutokana na mizozo inayoendelea baina ya pande hizo mbili baada ya kufungwa jela mpinzani wa serikali ya Moscow, Alexei Navalny na ukandamiza wa maandamano yaliyoanzishwa na waungaji mkono wake.
-
EU yapinga bomoabomoa ya nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na Israel
Feb 10, 2021 03:33Msemaji wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) ametoa taarifa akipinga vikali operesheni ya kuboa nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
EU: Diplomasia ichukue nafasi ya mashinikizo ya kiwango cha juu
Feb 05, 2021 08:18Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema 'diplomasia ya kiwango cha juu' inapaswa kuchukua nafasi ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu.'
-
EU na US kufanya mkutano wa kujaribu kuinusuru JCPOA
Jan 29, 2021 04:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema mazungumzo baina ya nchi za Ulaya na Marekani kuhusu kurejea Washington katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yataanza hivi karibuni.
-
Wasi wasi wa viongozi wa Ankara kuhusu kuharibika uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Ulaya
Jan 24, 2021 22:59Licha ya kuongezeka kila siku hitilafu baina ya Uturuki na Umoja wa Ulaya lakini bado viongozi wa Ankara wanafuatilia juhudi za kupewa uanachama katika umoja huo.
-
Ulaya yazidi kulemewa na janga la maambukizi ya corona, hatua kali zashadidishwa
Jan 24, 2021 04:48Serikali za Ulaya zimeshadidisha hatua kali na vizuizi mbalimbali ili kukabiliana na kuenea maambukizi ya corona barani humo.
-
EU yaitaka serikali ya Biden isipoteze muda, iokoe JCPOA
Jan 21, 2021 01:01Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ameutaka utawala ujao nchini Marekani wa Joe Biden uokoe muda kwa kujiunga upya na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, badala ya kutaka kufanyike mazungumzo mapya juu ya mapatano hayo ya kimataifa.
-
Mwangwi wa kubwagwa Trump, wapinzani wa Venezuela wapata pigo jipya
Jan 08, 2021 03:34Baada ya Donald Trump kubwagwa katika uchaguzi wa rais wa Novemba 3, 2020 huko Marekani, sasa wafuasi, mashabiki na vibaraka wake wa nje, nao wameanza kuonja makali ya kuwa vibaraka wa Marekani.
-
Zarif: Nchi za Ulaya zimekiuka wajibu wao katika JCPOA
Dec 22, 2020 00:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema data za miamala ya kibiashara baina ya nchi hii na Ulaya kati ya mwaka 2014 na 2019 zinaonesha wazi kuwa nchi tatu za Ulaya washiriki wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA zilikiuka wajibu wao wa kisheria.
-
Kupaswisha azimio dhidi ya Iran katika Bunge la Ulaya
Dec 18, 2020 03:11Wabunge wa Umoja wa Ulaya jana Alkhamisi walipasisha azimio linaloituhumu Iran kuwa inakiuka haki za binadamu