Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Madai ya kukaririwa ya Ulaya kuunga mkono JCPOA; nara tupu zisizofungamana na vitendo

    Madai ya kukaririwa ya Ulaya kuunga mkono JCPOA; nara tupu zisizofungamana na vitendo

    Dec 03, 2020 20:45

    Licha ya kuwa baada ya kujitoa marekani katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kama JCPOA, nchi za Ulaya zimekuwa na utendaji hasi na dhaifu katika kulinda na kutekeleza ahadi zao kuhusu mapatano hayo, lakini zingali zinadai kwamba zinaendelea kuyalinda.

  • Umoja wa Ulaya walaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran

    Umoja wa Ulaya walaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran

    Nov 28, 2020 08:14

    Umoja wa Ulaya umelaani mauaji ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya mwanasayansi wa nyuklia na masuala ya kiulinzi wa Iran na kusema kuwa huo ni uhalifu unaokinzana na msingi wa kuheshimiwa haki za binadamu.

  • Kukosolewa madola ya Magharibi kwa kufanya njama za kuzusha machafuko  Russia na Belarus

    Kukosolewa madola ya Magharibi kwa kufanya njama za kuzusha machafuko Russia na Belarus

    Nov 27, 2020 23:55

    Sergey Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia ameyatuhumu madola ya Magharibi mwamba, yanaingilia masuala ya ndani ya Russia na Belarus na kuyalaumu pia kwa kutekeleza vikwazo vya upande mmoja na kuwachochea wananchi wa mataifa hayo ili waanzishe vurugu na machafuko.

  • Umoja wa Ulaya wapinga ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi huko Palestina

    Umoja wa Ulaya wapinga ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi huko Palestina

    Nov 16, 2020 07:35

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa taarifa akipinga vikali ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zilizobandikwa jina la Israel.

  • Sisitizo la Putin la kumuunga mkono Lukashenko mkabala na vikwazo vipya vya nchi za Magharibi

    Sisitizo la Putin la kumuunga mkono Lukashenko mkabala na vikwazo vipya vya nchi za Magharibi

    Nov 06, 2020 03:17

    Maandamano makubwa yaliyofanyika hivi karibuni nchini Belarus kufuatia uchaguzi uliomrejesha tena madarakani Rais Alexander Lukashenko, kilikuwa kisingizio kizuri kwa nchi za Magharibi kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kuanza kutekeleza vikwazo na siasa za uhasama dhidi ya serikali yake.

  • Uingereza yasema iko tayari kujitoa Umoja wa Ulaya bila kufikia makubaliano

    Uingereza yasema iko tayari kujitoa Umoja wa Ulaya bila kufikia makubaliano

    Oct 18, 2020 11:16

    Waziri wa Uingereza anayesimamia mchakato wa nchi hiyo kujitoa Umoja wa Ulaya unaojulikana kama BREXIT ametangaza kuwa nchi yake iko tayari kujitoa katika umoja huo bila kufikiwa mwafaka kamili.

  • EU yaikosoa Israel kwa kuendelea kupora ardhi za Wapalestina

    EU yaikosoa Israel kwa kuendelea kupora ardhi za Wapalestina

    Oct 16, 2020 04:12

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amekosoa uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Rusia na Belarus

    Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Rusia na Belarus

    Oct 14, 2020 03:00

    Ikiwa ni muendelezo wa uingiliaji wa nchi za Magharibi wa masuala ya ndani ya mataifa mengine, sasa hivi Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kutekeleza kivitendo vikwazo dhidi ya Russia na Belarus.

  • Borell akiri udharura wa Iran kunufaika na mkataba wa JCPOA

    Borell akiri udharura wa Iran kunufaika na mkataba wa JCPOA

    Oct 09, 2020 03:43

    Licha ya kuwa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ambayo inajumuisha nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zilikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA, lakini baada ya Marekani kujitoa katika mapatano hayo, pande hizo zimekuwa na utendaji mbaya usioweza kutetewa kutokana na kuwa zimeshindwa kuyalinda na pia kutotekeleza ahadi zao, na hasa kuhusu kutofanikisha mfumo wa mabadilishano ya kifedha na kibiashara unaojulikana kama Instex.

  • EU yaishurutisha Palestina kulipa kodi kwa Israel ili iendelee kuisaidia kifedha

    EU yaishurutisha Palestina kulipa kodi kwa Israel ili iendelee kuisaidia kifedha

    Oct 08, 2020 10:35

    Umoja wa Ulaya umesema utaipatia Palestina msaada wa fedha kwa sharti la kulipa kodi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS