Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Indhari ya Umoja wa Ulaya kuhusu kupuuzwa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya

    Indhari ya Umoja wa Ulaya kuhusu kupuuzwa vikwazo vya silaha dhidi ya Libya

    Jun 30, 2020 21:56

    Katika hali ambayo mgogoro wa Libya ungali unaendelea kutokota sambamba na uingiliaji wa madola mbalimbali katika masuala ya ndani ya nchi hiyo huku misaada ya kijeshi ya kisilaha ikiwa imeifanya hali ya nchi hiyo kuzidi kuwa mbaya, Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kuwa, vikwazo vya silaha dhidi ya Libya daima vimekuwa vikikiukwa na jambo hilo kufanyiwa mzaha.

  • Jitihada za Marekani za kuishawishi Ulaya iungane na Washington dhidi ya China

    Jitihada za Marekani za kuishawishi Ulaya iungane na Washington dhidi ya China

    Jun 27, 2020 22:03

    Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump imezididisha mienendo yake ya kukabiliana na China katika nyuga mbalimbali. Mbali na kutaka kuitwisha Beijing matakwa yake katika nyanja za kibiashara na kiuchumi, sasa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika maeneo mawili ya Hong Kong na Xinjiang kwa kisingizio cha haki za binadamu.

  • Umoja wa Ulaya: Mgogoro wa Libya hauna utatuzi wa kijeshi

    Umoja wa Ulaya: Mgogoro wa Libya hauna utatuzi wa kijeshi

    Jun 23, 2020 02:37

    Msemaji wa mkuu wa siasa za nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kwamba mgogoro wa Libya hauwezi kutatuliwa kwa njia ya kijeshi.

  • Kuisusia ICC; muendelezo wa ushari wa Trump dhidi ya taasisi za kimataifa

    Kuisusia ICC; muendelezo wa ushari wa Trump dhidi ya taasisi za kimataifa

    Jun 12, 2020 22:35

    Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza ushari wake wa kutojali, kuponda na kutoa vitisho dhidi ya taasisi za kimataifa. Hadi hivi sasa Trump ameshaitoa Marekani kwenye taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa kama vile UNESCO na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na hivi sasa ametishia kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.

  • Katibu Mkuu wa NATO akiri: Mlingano wa nguvu duniani umebadilika

    Katibu Mkuu wa NATO akiri: Mlingano wa nguvu duniani umebadilika

    Jun 12, 2020 03:32

    Marekani ambayo ni kinara wa nchi za Magharibi imekuwa ikipinga suala la kuongezeka nguvu, ustawi na satua ya China katika uwanja wa kimataifa na imeitambua nchi hiyo kuwa ni tishio kwa ulimwengu wa Magharibi ikizitaka nchi za Ulaya kupunguza uhusiano wao na Beijing.

  • Sisitizo la Borell la kuondoka Marekani JCPOA na madai yasiyo na msingi ya serikali ya Trump

    Sisitizo la Borell la kuondoka Marekani JCPOA na madai yasiyo na msingi ya serikali ya Trump

    Jun 11, 2020 00:16

    Rais Donald Trump wa Marekani ni mmoja wa wapinzani wakubwa wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na ambaye aliitoa nchi hiyo katika mapatano hayo ya kimataifa tarehe 8 mwezi Mei 2018.

  • Jitihada mpya za Marekani kwa ajili ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Jitihada mpya za Marekani kwa ajili ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Jun 05, 2020 22:23

    Moja kati ya vipengee muhimu vya mapatano ya nyuklia ya maarufu kwa kifupi ka jina la JCPOA ni azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo lina kipengee kuhusu kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran miaka mitano baada ya kuanza kutekelezwa mapatano hayo.

  • EU, China zaikosoa US kwa kuondoa misamaha ya vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran

    EU, China zaikosoa US kwa kuondoa misamaha ya vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran

    May 30, 2020 03:41

    Umoja wa Ulaya na China zimekosoa vikali hatua ya Marekani ya kufuta misamaha ya vikwazo inayohusiana na makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran ya JCPOA.

  • Sisitizo la Ujerumani juu ya udharura wa kuwa huru Ulaya katika masuala ya kimataifa

    Sisitizo la Ujerumani juu ya udharura wa kuwa huru Ulaya katika masuala ya kimataifa

    May 28, 2020 04:52

    Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nyingi tofauti hususan wakati huu wa mgogoro wa maambukizi ya corona. Hivi sasa bara la Ulaya limekumbwa na mgogoro ambao haujawahi kutokea barani humo. Si hayo tu, lakini mivutano iliyodhihiri zaidi ndani ya Umoja wa Ulaya wakati huu wa corona, ni msiba mwingine uliolikumba bara hilo na kuzidi kuonesha udhaifu wake katika nyuga tofauti hasa za kiafya na kiuchumi na utegemezi wa nchi hizo kwa mataifa mengine kama China.

  • Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani

    Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani

    May 26, 2020 23:28

    Kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani huko White House mnamo tarehe 20 Januari 2017 kulifungua ukurasa mpya wa siasa za upande mmoja za nchi hiyo duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS