-
Msimamo mkali wa Boris Johnson katika mazungumzo na Umoja wa Ulaya
Feb 04, 2020 21:44Baada ya Uingereza kujitoa rasmi katika Umoja wa Ulaya tarehe 31 ya mwezi uliopita wa Januari, filihahi suala muhimu yaani mazungumzo baina ya London na Brussels kuhusiana na utambulisho na muundo wa uhusiano wa pande mbili katika kipindi cha baada ya Brexit ndilo linalojadiliwa sasa.
-
Mkuu mpya wa Sera za Kigeni wa EU kuitembelea Iran kwa mara ya kwanza
Feb 02, 2020 03:55Mkuu mpya wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya anatazamiwa kuwasili hapa mjini Tehran kesho Jumatatu, kujadili masuala yenye umuhimu kwa pande mbili na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Indhari ya Umoja wa Ulaya kuhusu kutofikiwa makubaliano ya kibiashara na Uingereza katika kipindi cha baada ya Brexit
Jan 28, 2020 21:57Suala la mpango wa Uingereza wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya (Brexit) linahesabiwa kuwa daghadagha muhimu zaidi ya wananchi wa Uingereza.
-
Zarif aziasa nchi za Ulaya kusimama kidete mkabala wa vitisho vya Trump
Jan 22, 2020 09:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Marekani ya kutoa vitisho vipya vya kuziwekea nchi za Ulaya ushuru mpya wa kibishara inadhihirisha kuwa, kutumbukia nchi za EU kwenye mtego wa Rais Donald Trump kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kumekuwa na maslahi zaidi kwa kiongozi huyo wa Marekani na sio kwa nchi hizo za Ulaya.
-
EU: Mazungumzo ya kisiasa ndiyo njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya
Jan 20, 2020 20:47Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya na Mkuu wa Sera za Kigeni wa umoja huo wamesema kuwa, njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya ni mazungumzo ya kisiasa.
-
Iran yasema ikilazimu, itaangalia upya ushirikiano wake na IAEA
Jan 19, 2020 04:34Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezionya nchi za Ulaya kuwa, Tehran italazimika kuangalia upya ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) iwapo EU itaendelea kuchukua hatua zisizo za kiadilifu juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Pendekezo la mazungumzo mapya ya nyuklia linaonesha udhaifu wa Ulaya
Jan 18, 2020 04:07Balozi wa Iran mjini Paris amesema pendekezo la kutaka kufanyika mazungumzo mapya kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran linaonesha udhaifu wa Ulaya na ni dhihirisho wazi kuwa nchi hizo zina uepesi wa kuvunja mapatano.
-
Umoja wa Ulaya: Hakuna mbadala wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 14, 2020 23:20Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya ametangaza kuwa hakuna mbadala wowote wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Madai ya Umoja wa Ulaya kwamba eti umefungamana na mapatano ya JCPOA
Jan 12, 2020 08:21Umoja wa Ulaya, ambao Mkuu wake wa Siasa zake za Nje wakati yalipofikiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA alikuwa ni Federica Mogherini, aliyeongoza timu ya umoja huo katika mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi kufikiwa mwafaka kati ya Tehran na kundi la 5+1, unajulikana kama moja ya waungaji mkono wa JCPOA.
-
UK: Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 11, 2020 04:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza alisema jana Ijumaa baada ya kikao cha dharura cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels Ubelgiji kwamba, nchi yake pamoja na Umoja wa Ulaya wataendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.