-
Mawaziri wa Uingereza wataka nchi ibakie ndani ya EU
Feb 20, 2016 10:07Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amesema kuwa baraza lake la mawaziri limeafiki kubakia nchi yao kwenye Umoja wa Ulaya (EU) lakini kuwe na mabadiliko kwenye sheria za muungano huo.
-
EU kuiwekea vikwazo zaidi Burundi
Feb 15, 2016 11:45Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa uko tayari kuiwekea vikwazo zaidi nchi ya Burundi.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Iran na EU kuanza leo
Feb 07, 2016 22:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya leo Jumatatu zinatazamiwa kuanza duru mpya ya mazungumzo, ikiwa ni ya kwanza tangu Tehran na kundi la 5+1 kufikia makubaliano ya nyuklia ya Vienna mwaka jana.