Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel

    Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel

    Feb 05, 2025 23:02

    Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Wapalestina.

  • Afkham: Azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Iran halina msingi wa kisheria

    Afkham: Azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Iran halina msingi wa kisheria

    Jan 25, 2025 07:51

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Masuala ya Wanawake ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu halina msingi wowote wa kisheria na linaonyesha tabia ya uingiliaji ya chombo hicho.

  • Viongozi wa Ulaya waendelea kudhihirisha sura zao za kinafiki, mara hii kuhusu Gaza na Marekani

    Viongozi wa Ulaya waendelea kudhihirisha sura zao za kinafiki, mara hii kuhusu Gaza na Marekani

    Jan 03, 2025 00:16

    Viongozi wa nchi za Ulaya, wameendelea kuonyesha sura zao za kinafiki, kwa kukaa kimya kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza, huku wakikimbilia kutuma ujumbe wa rambirambi kutokana na hujuma ya gari iliyotokea Marekani.

  • Mkuu wa Sera za Nje wa EU atoa taarifa kuhusu Syria

    Mkuu wa Sera za Nje wa EU atoa taarifa kuhusu Syria

    Dec 16, 2024 03:53

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametangaza kuwa kipaumbele cha Ulaya ni kuhakikisha amani inakuwepo katika eneo na kwamba umoja huo utashirikiana na wadau wote katika eneo zima ikiwemo Syria katika uwanja huo.

  • Kuongezeka mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya juu ya utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia

    Kuongezeka mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya juu ya utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia

    Dec 08, 2024 23:39

    Hatua za Umoja wa Ulaya (EU) za kujaribu kufikia mwafaka juu ya utekelezaji wa kifurushi cha 15 cha vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kutokana na kura za turufu zilizopigwa na Latvia na Lithuania.

  • Mienendo ya kindumakuwili ya Ulaya kuhusu waranti ya kukamatwa watawala wa Israel

    Mienendo ya kindumakuwili ya Ulaya kuhusu waranti ya kukamatwa watawala wa Israel

    Nov 29, 2024 11:57

    Hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutoa waranti ya kukamatwa Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant, Waziri Mkuu na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel imeakisiwa pakubwa kimataifa kwa kutilia maanani umuhimu wake na pia kutokana na kutochukuliwa hatua kama hiyo huko nyuma dhidi ya viongozi wa utawala huo ghasibu.

  • Human Rights Watch yataka uungaji mkono wa Ulaya kwa waranti ya kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni

    Human Rights Watch yataka uungaji mkono wa Ulaya kwa waranti ya kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni

    Nov 27, 2024 04:14

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesisitiza na kutaka kuwepo uungaji mkono wa Umoja wa Ulaya kwa uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC wa kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kutokana na kuhusika kwake katika jinai za kivita.

  • Borrell: Hati ya kukamatwa Netanyahu, Gallant si ya kisiasa, nchi zote za EU zina wajibu wa kuitekeleza

    Borrell: Hati ya kukamatwa Netanyahu, Gallant si ya kisiasa, nchi zote za EU zina wajibu wa kuitekeleza

    Nov 21, 2024 23:59

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amesema, hati zilizotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC za kuamuru kukamatwa waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa vita wa utawala huo Yoav Gallant si maamuzi ya "kisiasa" na ni lazima "yaheshimiwe" na nchi zote wanachama wa umoja huo.

  • Siku 1000 za vita vya Ukraine na mustakabali wake usiojulikana

    Siku 1000 za vita vya Ukraine na mustakabali wake usiojulikana

    Nov 19, 2024 23:06

    Jumatatu ya juzi 18 Novemba, 2024, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano mjini New York, kwa mnasaba wa siku elfu 1000 za Vita vya Ukraine.

  • Kansela wa Ujerumani akiri kuhitilafiana Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine

    Kansela wa Ujerumani akiri kuhitilafiana Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine

    Nov 10, 2024 23:00

    Kansela wa Ujerumani amesema kuwa anahitilafiana pakubwa kimitazamo na Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu namna ya kushughulikia mgogoro wa Ukraine na kukiri kuwepo hitilafu hizo ndani ya Umoja wa Ulaya kuhusu Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS