-
Ripoti ya kimataifa: Theluthi mbili ya wanaokabiliwa na migogoro ya chakula duniani wanaishi katika nchi 10
Apr 25, 2026 10:57Ripoti ya kimataifa imeonya kwamba mzozo wa Mashariki ya Kati unaweza kuzidisha migogoro iliyopo, ikifichua kuwa watu milioni 266 katika nchi au maeneo 47 walikabiliwa na viwango vya juu vya uhaba wa chakula mnamo 2025, karibu mara mbili ya idadi iliyorekodiwa mnamo 2016.
-
Iran yaonya kuhusu mgogoro wa chakula duniani kutokana na vita vya kigaidi vya Marekani
Apr 25, 2026 04:25Waziri wa Kilimo wa Iran, Gholamreza Nouri, amesema kuwa mashambulizi na vitendo vya uchokozi vya Marekani vina madhara makubwa kwa usalama wa chakula duniani, na vinatoa kikwazo kikubwa katika kufanikisha lengo la “kutokomeza njaa.”
-
Guardian: Dunia itakumbwa na mgogoro wa chakula vita dhidi ya Iran vikiendelea
Mar 16, 2026 04:38Mkuu wa moja ya kampuni kubwa zaidi za mbolea duniani amenukuliwa na gazeti la The Guardian akionya kuwa, usambazaji wa chakula duniani utaathiriwa vibaya sana mwaka huu iwapo vita dhidi ya Iran vitapanuka na kuendelea.
-
Utoshelevu wa chakula; Afrika yatakiwa iongeze bajeti kwenye kilimo
May 21, 2025 02:24Serikali za nchi za Afrika zimehimizwa kuongeza uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kuimarisha usalama wa chakula na kufungua mustakbali wa maendeleo endelevu ya kiuchumi.
-
Shirika la kimataifa la usalama wa chakula: Sudan inahitaji hatua za haraka kukabiliana na njaa
Mar 30, 2024 03:51Shirika la usalama wa chakula duniani linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa (IPC) lilionya jana Ijumaa kuhusu haja ya kuchukuliwa hatua za haraka "kuzuia kushamiri vifo, kuporomoka kabisa kwa njia za kujipatia riziki na kuepusha janga la njaa nchini Sudan."
-
FAO: Nchi 33 za Afrika zinahitaji msaada wa chakula kutoka nje
Mar 16, 2024 03:50Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema katika ripoti yake mpya kwamba, nchi 45 duniani, zikiwemo 33 za Afrika zinahitaji msaada wa dharura wa chakula kutoka nje.
-
Bei ya mchele duniani imeongezeka, hofu yatanda
Aug 12, 2023 23:16Bei ya mchele imefikia viwango vyake vya juu zaidi kuwahi kushuhudiwa katika takriban kipindi miaka 15 iliyopita huku kukiwa na wasiwasi juu ya ugavi wa kimataifa wa bidhaa hiyo baada ya muuzaji mkuu, India, kuweka vizingiti katika uuzaji nje zao hilo muhimu. Hali mbaya ya hewa katika eneo la Kusini-Mashariki mwa Asia imeathiri zaidi uzalishaji mpunga.
-
Waingereza wafakamia chakula cha mifugo kutokana na kupanda gharama za maisha
Dec 02, 2022 22:50Mgogoro wa gharama kubwa za maisha nchini Uingereza umekuwa sababu ya Waingereza katika baadhi ya miji kula chakula cha wanyama wa kufuga majumbani.
-
Marekani yaongoza orodha ya nchi zinazofanya israfu ya chakula duniani
Nov 15, 2022 03:37Umoja wa Mataifa umesema jamii ya kimataifa haijachukua hatua za maana za kukomesha utupaji wa chakula majaani, huku Marekani, Australia na New Zealand zikiongoza orodha ya nchi zinazofanya israfu kubwa ya chakula duniani.
-
Wakenya waipongeza serikali kwa kupunguza bei ya unga wa ugali
Jul 19, 2022 08:01Wakenya wamefurahia hatua ya serikali kupunguza bei ya unga wa mahindi. Baadhi ya Wakenya wamejitokeza kwenye mitandao ya kijamii kushukuru hatua ya serikali kupunguza bei ya unga wa mahindi.