-
Video ya Hizbullah iliyokashifu vituo vya kijeshi vya Israel ndani ya miji yazusha taharuki
Feb 18, 2021 22:54Kwa mara ya kwanza, harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa mkanda wa video unaoonyesha kambi na vituo vya kijeshi vya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndani ya miji ya ardhi hizo za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
HAMAS yalaani njama ya kuasisi jumuiya ya jamii za Mayahudi katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Feb 16, 2021 09:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mpango wa kuasisi jumuiya ya jamii za Mayahudi katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
-
Watunisia waandamana wakipinga kuanzishwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 15, 2021 06:59Wananchi waliokuwa na hasira wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis, wakipinga hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Palestina yataka kuharakishwa kufuatiliwa jinai za kivita za Israel
Feb 15, 2021 04:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina jana usiku ilitoa tamko na kutaka kuharakishwa kufuatiliwa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Oman: Hatuna haraka ya kupanua uhusiano wetu na Israel
Feb 12, 2021 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amesema, nchi yake haina haraka ya kupanua uhusiano wake na Israel na wala haikusudii kuchukua hatua ya kufanya hivyo kwa sasa.
-
Netanyahu aahidi kuteua waziri wa kwanza Mwislamu katika serikali ya Israel, iwapo atashinda
Feb 06, 2021 08:34Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameahidi kuwa iwapo atashinda uchaguzi ujao huko Israel atateua waziri wa kwanza Mwarabu na Mwislamu katika serikali ya utawala huo.
-
Netanyahu ahamakishwa na hukumu ya mahakama ya ICC
Feb 06, 2021 04:07Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameshindwa kuficha hamaki zake baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutoa hukumu kwa manufaa ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Polisi wa utawala wa Kizayuni wawaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina
Feb 02, 2021 04:02Polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina baada ya kuvamia eneo moja katika mji Tamra kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Maulamaa wa Mauritania watoa Fatuwa ya kuharamisha uhusiano na Israel
Feb 01, 2021 08:30Maulamaa na Maimamu wa Swala za Jamaa wasiopungua 200 nchini Mauritania wametoa Fatuwa inayorahamisha kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawaa dhalimu wa Israel.
-
Indhari ya makundi ya muqawama ya Palestina kwa utawala wa Kizayuni
Jan 20, 2021 08:35Makundi ya muqawama katika Ukanda wa Ghaza yamesema kuwa umoja ni njia pekee ya kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni dhidi ya kadhia ya Palestina.