-
Al Wifaq: Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain ni muovu zaidi kuliko Wazayuni
Aug 28, 2019 06:31Jumuiya ya Mwafaka wa Kiislamu na Kitaifa nchini Bahrain (Al Wifaq) imesema kuwa msimamo wa Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Aal Khalifa wa kutetea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya nchi za Kiislamu na Kiarabu ni muovu na usio wa kuwajibika.
-
Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake
Aug 26, 2019 07:31Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi za Lebanon, Iraq na Syria na kusema kuwa, utawala huo unapaswa ukubali taathira mbaya za uchokozi huo.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia Lebanon: Israel inachezea moto
Aug 25, 2019 08:01Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia nchini Lebanon amesema, kuendeleza utawala wa Kizayuni wa Israel uchokozi dhidi ya Lebanon na Syria ni kuchezea moto, ambao utapelekea kuteketezwa utawala huo.
-
Al Maliki: Iraq itatoa jibu kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 24, 2019 02:28Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al Maliki ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Daawa cha Iraq ametoa onyo kali na kusema kuwa, Iraq itatoa jibu kali iwapo itabainika kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umehusika katika shambulizi la angani dhidi ya kituo cha jeshi la kujitolea la wananchi nchini humo maarufu kama Al Hashd al Shaabi.
-
Ndege za kivita za Israel zakiuka anga ya Lebanon
Aug 20, 2019 08:50Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeingia kinyume cha sheria katika anga ya Lebanon hatua ambayo inakiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Sanders: Misaada ya Marekani kwa Israel ikatwe kama haiwaruhusu wabunge Waislamu wa Kungresi kutembelea Quds
Aug 18, 2019 06:56Seneta wa Marekani anayetarajiwa kuwania nafasi ya kugombea kiti cha rais katika uchaguzi ujao nchini humo hapo mwakani amesema kama Israel itaendelea kuwazuia wabunge wawili Waislamu wa Kongresi kuingia katika utawala huo na kutembelea Quds, haipaswi kupewa tena misaada ya Marekani.
-
Hamas: Lengo la Israel la kuishambulia Ghaza ni kupotosha fikra za waliowengi
Aug 17, 2019 03:32Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, lengo la utawala wa Kizayuni la kutekeleza mashambulizi dhidi ya Ghaza ni kutaka kupotosha fikra za waliowengi kuhusu oparesheni za muqawama zilizofanywa hivi karibuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jumamosi, 17 Agosti, 2019
Aug 16, 2019 23:13Leo ni Jumamosi tarehe 15 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1440 Hijria sawa na tarehe 17 Agosti mwaka 2019 Miladia.
-
Rais Rouhani: Kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi hakuhitajii vikosi vya kigeni
Aug 14, 2019 08:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ili kudhamini usalama na utulivu katika Ghuba ya Uajemi hakuna haja ya kuweko vikosi vya kieneo katika eneo hilo.
-
Arab League yaonyesha msimamo legevu kuhusiana na jinai ya Wazayuni ya kuuvamia msikiti wa Al Aqsa
Aug 12, 2019 10:23Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeonyesha msimamo legevu na dhaifu kwa uvamizi uliofanywa na askari wa utawala wa Kizayuni dhidi ya msikiti mtukufu wa Al Aqsa wakati wa Sala ya Idul-Adh'ha.