Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Jul 25, 2019 21:04

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Makumi ya wanadiplomasia wa utawala wa Kizayuni duniani kugoma kulalamikia hali mbaya ya kiuchumi

    Makumi ya wanadiplomasia wa utawala wa Kizayuni duniani kugoma kulalamikia hali mbaya ya kiuchumi

    Jul 22, 2019 23:58

    Makumi ya wanadiplomasia wa utawala haramu wa Kizayuni duniani wametishia kugoma kutokana na mgogoro mkubwa wa kifedha unaoikabili Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala huo.

  • HAMAS yasisitiza kukomeshwa mashambulio ya Wazayuni dhidi ya Wapalestina

    HAMAS yasisitiza kukomeshwa mashambulio ya Wazayuni dhidi ya Wapalestina

    Jul 20, 2019 23:51

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, adui mzayuni ndiye anayebeba dhima ya kuendelea hujuma na mashambulio dhidi ya Wapalestina yakiwemo mashambulio dhidi ya waandamano wa maandamno ya "Haki ya Kurejea".

  • Kujiuzulu kwa kamanda wa jeshi la Israel na athari za operesheni

    Kujiuzulu kwa kamanda wa jeshi la Israel na athari za operesheni "Ncha ya Upanga"

    Jul 07, 2019 02:17

    Kamanda wa operesheni maalumu za upelelezi wa jeshi la Israel amelazimika kujiuzulu kutokana na kushindwa operesheni ya Khan Yunis Novemba 2018 na kushindwa jaribio la kutaka kumuua mmoja wa makamanda wa ngazi za juu wa Brigedi ya Izzuddin Qassam, tawi la kijehi la harakati ya Hamas.

  • Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga

    Mayahudi wa Ethiopia waliorubuniwa kwenda Israel wapiga "takbir" waendelea kulalamikia unyanyasaji

    Jul 06, 2019 06:28

    Mayahudi wa Ethiopia maarufu kwa jina la Mafalasha, waliorubiniwa kwenda katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, wanaendelea kufanya maandamano ya kalalamikia unyanyasaji na ubaguzi wanaofanyiwa na Wazayuni.

  • HAMAS: Kujiuzulu maafisa wa kijeshi wa Israel ni ishara ya nguvu ya muqawama

    HAMAS: Kujiuzulu maafisa wa kijeshi wa Israel ni ishara ya nguvu ya muqawama

    Jul 06, 2019 03:45

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kujiuzulu mkuu wa kitengo cha operesheni cha Shirika la Kiintelijensia la Israel ni jambo linalobainisha juu ya kuchanganyikiwa adui Mzayuni na kuweka wazi nguvu kubwa ya muqawama wa Palestina.

  • HAMAS: Vitisho vya Netanyahu vinatuzidishia azma na irada ya muqawama

    HAMAS: Vitisho vya Netanyahu vinatuzidishia azma na irada ya muqawama

    Jul 05, 2019 08:20

    Mjumbe mmoja wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu Palestina (HAMAS) amesema kuwa, vitisho vya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni vinauzidishia muqawama azma na irada ya kuendelea mbele na njia yake tukufu.

  • Mwisho wa Apartheid Afrika Kusini na kuendelea kwake maeneo mengine ya dunia

    Mwisho wa Apartheid Afrika Kusini na kuendelea kwake maeneo mengine ya dunia

    Jul 03, 2019 03:09

    Jumapili ya terehe 30 ilikuwa siku ya kumbukumbu ya tukio muhimu sana katika historia ya Afrka na dunia nzima. Ilikuwa siku ya kufutwa mfumo usio wa kibinadamu wa Apartheid huko Afrika Kusini mwaka 1991.

  • Hatimaye utawala wa Kizayuni wasalimu amri mbele vishada vya moto vya Wapalestina

    Hatimaye utawala wa Kizayuni wasalimu amri mbele vishada vya moto vya Wapalestina

    Jun 29, 2019 02:43

    Hatimaye utawala haramu wa Kizayuni umekubali masharti ya makundi ya muqawama ya Palestina kwa ajili ya kusimamisha kutumwa vishada vya moto kwenye vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Jamii ya Mayahudi nchini Marekani yaandamana kupinga siasa za utawala haramu wa Israel

    Jamii ya Mayahudi nchini Marekani yaandamana kupinga siasa za utawala haramu wa Israel

    Jun 27, 2019 06:51

    Wanaharakati wa kiraia wa jamii ya Mayahudi wa Orthodox wanaoishi nchini Marekani wamefanya maandamano kupinga siasa za utawala haramu wa Kizayuni katika kuwalazimisha wanawake kwenda kujiunga na jeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS