Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Hamas yataka Wapalestina wawe wabunifu katika kupambana na Wazayuni

    Hamas yataka Wapalestina wawe wabunifu katika kupambana na Wazayuni

    Jun 14, 2019 02:09

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeitaka serikali na wananchi wa Palestina kuwa na ubunifu wa kitaifa katika kukabiliana na siasa za kibeberu za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kituo cha nyuklia cha Israel kimekiri kuvujisha mada za radioactive

    Kituo cha nyuklia cha Israel kimekiri kuvujisha mada za radioactive

    Jun 12, 2019 21:33

    Kituo cha nyuklia cha Demona kwa mara ya kwanza kimekiri kuwa kwa miaka kadhaa kimekuwa kikivujisha mada za radiocative.

  • Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Jun 11, 2019 00:51

    Licha ya juhudi kuibwa zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanikisha mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini washirika wa Ulaya wa Washington ikiwemo Ufaransa, wanaendelea kuukosoa mpango huo.

  • Ijumaa tarehe 7 Juni 2019

    Ijumaa tarehe 7 Juni 2019

    Jun 06, 2019 22:40

    Leo ni Ijumaa tarehe 7 Juni mwaka 2019.

  • Pompeo akiri kutotekelezeka mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Pompeo akiri kutotekelezeka mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Jun 04, 2019 02:42

    Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kutekeleza mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini hata Mike Pompeo mwenyewe, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo hana matumaini ya kutekelezwa mpango huo.

  • Juhudi za Saudi Arabia za kufunika na kupuuza malengo ya Palestia ni kosa la kistratijia

    Juhudi za Saudi Arabia za kufunika na kupuuza malengo ya Palestia ni kosa la kistratijia

    May 31, 2019 03:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba juhudi zinazofanywa na utawala wa Saudi Arabia na baadhi ya nchi za Kiarabu za Asia Magharibi kwa ajili ya kufunika na kupuuza malengo matukufu ya taifa la Palestina ni kosa kubwa la kistratijia.

  • Utawala wa Kizayuni unazuia kutumwa Ghaza misaada ya kibinadamu kwa ajili ya raia Palestina

    Utawala wa Kizayuni unazuia kutumwa Ghaza misaada ya kibinadamu kwa ajili ya raia Palestina

    May 27, 2019 09:02

    Msemaji wa Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa UNRWA amesema kuwa Ukanda wa Ghaza ni eneo gumu zaidi kugawa misaada ya kibinadamu kutokana na eneo hilo kuzingrwa kwa pande zote na utawala wa Israel.

  • Kufungwa UNRWA; takwa jipya la Marekani dhidi ya Palestina

    Kufungwa UNRWA; takwa jipya la Marekani dhidi ya Palestina

    May 24, 2019 00:11

    Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia katika ikulu ya nchi hiyo White House, alichukua msimamo wa kuiunga mkono Israel bila ya masharti yoyote na wakati huo huo kudhihirisha uhasama wa waziwazi dhidi ya Wapalestina.

  • HAMAS: Uamuzi wa Iran kuhusu JCPOA ni wa kishujaa

    HAMAS: Uamuzi wa Iran kuhusu JCPOA ni wa kishujaa

    May 10, 2019 21:48

    Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina (HAMAS) nchini Lebanon amesema kuwa, hatua ya Iran ya kusitisha kwa muda utekelezaji wa ahadi zake katika baadhi ya vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA, inaonyesha kuwa ni maamuzi ya kishujaa.

  • Utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita kati yake na Palestina

    Utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita kati yake na Palestina

    May 06, 2019 09:02

    Duru za habari za Palestina zimetangaza kuwa utawala wa Kizayuni hatimaye umekubali kusimamisha vita ulivyovianzisha huko Ukanda wa Ghaza kutokana na mashinikizo ya fikra za walimwengu kutoka nchi mbalimbali duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS