-
Chuo Kikuu cha Harvard: Gen Z wa Marekani wanaifadhilisha Hamas kuliko Israel
Nov 18, 2025 07:49Matokeo ya utafiti mpya yanaonyesha kuwa asilimia 60 ya Kizazi kipya, Gen-Z nchini Marekani wanapendelea Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina "Hamas" kuliko utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vya Gaza.
-
UNRWA: Israel inakiuka sheria za kimataifa kwa kuzuia misaada kwa Gaza
Nov 16, 2025 04:13Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limekosoa kuendelea kuwekewa vikwazo vya misaada katika Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa, utawala ghasibu wa Israel kama utawala unaoukalia kwa mabavu hautekelezi wajibu wake kwa mujibu wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
-
Vitisho vya mzayuni vyaifanya serikali ya Al-Jolani ifute maadhimisho ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Nov 14, 2025 07:38Duru za habari zimeripoti kuwa kongamano la Operesheni ya Muqawama wa Palestina dhidi ya utawala wa kizayuni wa Israel ya Kimbunga cha Al-Aqsa, lililokuwa limepangwa kufanyika katika mji wa Aleppo nchini Syria limefutwa baada ya mwandishi mmoja wa habari wa Kizayuni kutoa vitisho kwa kiongozi wa mpito wa nchi hiyo, Al-Jolani na serikali yake.
-
Ni yepi matokeo ya kujiuzulu waziri wa mikakati wa utawala wa Kizayuni?
Nov 12, 2025 08:46Waziri wa masuala ya mikakati wa utawala wa Kizayuni na ambaye ni mtu wa karibu na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amejiuzulu. Ron Dermer, ametangaza kujiuzulu kwa kumtumia barua rasmi Netanyahu.
-
Ni nini takwa la Tehran baada ya Trump kukiri kuhusika Marekani katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran?
Nov 08, 2025 11:41Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa alikuwa na mchango katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran.
-
Kwa nini New Delhi imekhitari sera ya kuwa karibu zaidi na Tel Aviv?
Nov 08, 2025 04:11India na utawala wa Kizayuni wa Israel zimeanzisha uhusiano mkubwa baina ya pande hizo mbili katika miaka ya hivi karibuni.
-
Ripoti ya kushtusha ya Umoja wa Mataifa; mauaji ya kimbari ya Wapalestina Ghaza yangali yanaendelea
Nov 07, 2025 02:47Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza yangali yanaendelea.
-
Jumatatu, 03 Novemba, 2025
Nov 03, 2025 02:20Leo ni Jumatatu tarehe 12 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 3 Novemba 2025.
-
Marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala wa Kizayuni nchini Indonesia
Oct 27, 2025 04:30Indonesia inachukulia marufuku ya kuingia wanariadha wa utawala Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo kuwa haki yake halali.
-
Hizbullah: Vita vya utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea
Oct 19, 2025 02:43Mbunge mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon Hizbullah amesisitiza kuwa, vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo ya kusini mwa Lebanon vingali vinaendelea kwa malengo maalumu na kwa sura tofauti.