Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Canada yasusia Israel

    Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Canada yasusia Israel

    Sep 05, 2017 23:11

    Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi katika sekta binafsi nchini Canada imetangaza rasmi kujiunga na 'Harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji wa Israel' maarufu kwa jina la BDS.

  • Imarati inanunua nyumba za wakazi wa Baitul Muqaddas kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni

    Imarati inanunua nyumba za wakazi wa Baitul Muqaddas kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni

    Sep 03, 2017 09:13

    Naibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu amesema kuwa mashirika na taasisi za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yananunua nyumba za wakazi wa Baitul Muqaddas zilizo karibu na msikiti wa al Aqsa kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni.

  • Wazayuni kuzidi kupora ardhi za Wapalestina na kujenga vitongoji vya walowezi

    Wazayuni kuzidi kupora ardhi za Wapalestina na kujenga vitongoji vya walowezi

    Sep 02, 2017 22:00

    Utawala wa Kizayuni wa israel umesema utaendelea kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi wanazoporwa Wapalestina kusini mwa Nablos, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

  • Kulaaniwa siasa za Marekani na Israel katika marasimu ya kujibari na washirikina

    Kulaaniwa siasa za Marekani na Israel katika marasimu ya kujibari na washirikina

    Aug 31, 2017 09:15

    Mahujaji wa Kiirani wamelaani siasa za kupenda kujitanua za Marekani na utawala haramu wa Israel kupitia azimio lao walilolitoa mwishoni mwa marasimu ya kujibari na washirikina katika jangwa la Arafa.

  • Utawala wa Kizayuni wakiri kwamba Rais Bashar al-Assad wa Syria anaendelea kupata mafanikio

    Utawala wa Kizayuni wakiri kwamba Rais Bashar al-Assad wa Syria anaendelea kupata mafanikio

    Aug 31, 2017 03:38

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekiri kwamba Rais Bashar al-Assad wa Syria na washirika wake, atakuwa amedhibiti maeneo yote ya taifa hilo kufikia mwishoni mwa mwaka kesho 2018.

  • Palestina yaitaka UN ichukue hatua kukomesha ughusubu wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Palestina yaitaka UN ichukue hatua kukomesha ughusubu wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 29, 2017 10:26

    Waziri Mkuu wa Palestina ameutaka Umoja wa Mataifa utekeleze jukumu lake kukomesha ughusubu na ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Palestina unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wanazuoni wa Kiislamu Quds Tukufu wataka Waislamu wajitokeze kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa

    Wanazuoni wa Kiislamu Quds Tukufu wataka Waislamu wajitokeze kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa

    Aug 28, 2017 23:53

    Wanazuoni wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Quds wametoa wito kwa Waislamu Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa mjini humo.

  • Maulamaa Sudan wataka kufutwa kazi waziri anayetaka uhusiano na Wazayuni

    Maulamaa Sudan wataka kufutwa kazi waziri anayetaka uhusiano na Wazayuni

    Aug 26, 2017 22:10

    Jopo la Maulamaa wa Sudan limetaka kufutwa kazi waziri wa uwekezaji wa nchi hiyo kutokana na kutoa mwito wa kuweko uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Ahmad Bilal: Serikali ya Sudan inapinga kuwa na uhusiano na Israel

    Ahmad Bilal: Serikali ya Sudan inapinga kuwa na uhusiano na Israel

    Aug 24, 2017 03:14

    Waziri wa Habari wa Sudan ametangaza kuwa, serikali ya Khartoum inapinga kuanzishwa uhusiano baina yake na utawala wa Kizayuini wa Israel.

  • Jitihada za utawala wa Kizayuni za kuwa na ushawishi mkubwa barani Afrika

    Jitihada za utawala wa Kizayuni za kuwa na ushawishi mkubwa barani Afrika

    Aug 16, 2017 22:07

    Utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya jitihada ili uwe na ushawishi kwa kuimarisha uhusiano wake na nchi za bara la Afrika kwa lengo la kujiondoa katika hali ya kutengwa. Katika uga huo, viongozi wa Tel Aviv wamepanga kuitisha mkutano mwezi Oktoba nchini Togo chini ya anuani "Kikao cha Viongozi wa Kiafrika na Israel."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS