Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Jumanne 15 Agosti, 2017

    Jumanne 15 Agosti, 2017

    Aug 14, 2017 21:59

    Leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1438 Hijria sawa na Agosti 15, 2017.

  • Ripoti: Watoto wa Kipalestina wanateswa vibaya katika magereza ya kutisha ya Israel

    Ripoti: Watoto wa Kipalestina wanateswa vibaya katika magereza ya kutisha ya Israel

    Aug 06, 2017 23:13

    Kituo cha Uchunguzi wa Mateka wa Kipalestina kimetangaza kuwa, watoto wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiadhibiwa na kuteswa vibaya.

  • Jumatatu 07 Agosti, 2017

    Jumatatu 07 Agosti, 2017

    Aug 06, 2017 23:11

    Leo ni Jumatatu tarehe 14 Dhulqaada 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Agosti 2017.

  • Mwanahistoria wa Israel afichua namna MOSSAD ilivyowaua Mayahudi wa Morocco

    Mwanahistoria wa Israel afichua namna MOSSAD ilivyowaua Mayahudi wa Morocco

    Aug 01, 2017 22:14

    Mwanahistori mmoja wa Israel ametangaza kuwa, shirika la ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD llilifanya jinai kubwa kuwalenga Mayahudi wa Morocco kwa lengo la kuwashawishi Mayahudi hao waelekee huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Israel imepora nyaraka muhimu zaidi za msikiti wa al-Aqsa kipindi hiki

    Israel imepora nyaraka muhimu zaidi za msikiti wa al-Aqsa kipindi hiki

    Jul 31, 2017 03:48

    Mkuu wa kituo cha kimataifa cha Quds amesema kuwa, hadi sasa nyaraka muhimu za idara ya waqfu wa Kiislamu mjini Qudsi zilizokuwa katika milango ya msikiti wa al-Aqsa zimeporwa kikamilifu na Wazayuni.

  • Ayatullah Araki: Hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa hazitaachwa bila majibu

    Ayatullah Araki: Hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa hazitaachwa bila majibu

    Jul 29, 2017 09:18

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Msikiti wa al-Aqswa ni hujuma dhidi ya ubinadamu na kwamba, mashambulio hayo hayatabikia hivi hivi bila majibu.

  • Makumi ya Wapalestina watiwa nguvuni katika Msikiti wa Al-Aqsa

    Makumi ya Wapalestina watiwa nguvuni katika Msikiti wa Al-Aqsa

    Jul 28, 2017 03:05

    Askari wa utawala wa Kizayuni wa israel wamewavamia Wapalestina waliofanya mgomo wa kukaa kitako katika msikiti wa Al-Aqsa na kuwatia nguvuni zaidi ya watu mia moja.

  • Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea

    Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea

    Jul 26, 2017 09:14

    Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel yataendelea hadi pale utawala huo haramu utakapoangamizwa na kufutwa katika ramani ya dunia.

  • UNESCO: Al Khalil (Hebron) ni turathi ya kimataifa ya Palestina

    UNESCO: Al Khalil (Hebron) ni turathi ya kimataifa ya Palestina

    Jul 26, 2017 05:40

    Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeuweka mji wa al Khalil na Haram ya Nabii Ibrahim (as) katika orodha ya turathi za kimataifa zinazokabiliwa na hatari ya kutoweka na limelaani vikali hatua za utawala ghasibu wa Israel katika eneo hilo.

  • Israel: Wakati wa kuwekwa wazi mahusiano yetu na Saudia, umewadia

    Israel: Wakati wa kuwekwa wazi mahusiano yetu na Saudia, umewadia

    Jul 25, 2017 03:47

    Gazeti la utawala haramu wa Israel limezungumzia mahusiano yaliyopo baina ya Israel na Saudi Arabia na kuandika kuwa sasa umewadia wakati wa kutangazwa wazi mahusiano ya pande mbili hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS