-
Jumanne tarehe 25 Julai, 2017
Jul 24, 2017 22:31Leo ni Jumanne tarehe Mosi Dhilqaada 1438 Hijria sawa na Julai 25, 2017.
-
Israel kujenga hospitali itakayotoa matibabu kwa magaidi wa Syria
Jul 20, 2017 09:15Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekusudia kujenga hospitali katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo nchini Syria, ambayo itakuwa na jukumu la kutoa matibabu kwa magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Syria, ikiwa ni katika mwendelezo wa misaada ya utawala huo kwa magaidi hao.
-
Baada ya Saudia, Imarati nayo yazusha balaa, yataka HAMAS ipinduliwe Ghaza
Jul 20, 2017 03:26Katika kile kinachoonekana wazi ni kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na kuwasahulisha walimwengu jinai hizo, Umoja wa Falme za Kiarabu nao umetaka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ipinduliwe katika Ukanda wa Ghaza.
-
Dahlan: Vitendo vya Israel Masjidul Aqswa ni ugaidi ulio wazi
Jul 20, 2017 03:24Mjumbe wa zamani wa Kamati Kuu ya harakati ya Fat'h ya Palestina amesema kuwa, vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds na Msikiti wa al Aqsa ni ugaidi ulio wazi.
-
Iran yalaani utawala wa Kizayuni kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa
Jul 16, 2017 02:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuufunga Msikiti wa Al Aqsa na kuzuia sala ya Ijumaa msikitini hapo na kuonya kuwa, hatua hizo zitakuwa na matokeo hatari sana.
-
Jeshi la Iraq laanzisha operesheni kali katika mji wa Samarra kusaka mabaki ya Daesh
Jul 15, 2017 02:43Jeshi la Iraq limeanzisha operesheni kali katika viunga vya mji wa Samarra katika mkoa wa Salah ad Din nchini humo.
-
Wanajeshi Wazayuni wamkamata Mufti wa Quds
Jul 14, 2017 22:00Wanajeshi dhalimu wa utawala wa Kizayuni unaoikalia kwa mabavu Quds tukufu jana walimkamata Mufti wa mji huyo, Sheikh Muhammad Hussein mara baada ya Sala ya Ijumaa nje ya Masjidul Aqswa.
-
Jumatano tarehe 12 Julai, 2017
Jul 11, 2017 23:31Leo ni Jumatano tarehe 17 Shawwal 1438 Hijria, inayosadifiana na tarehe 12 Julai 2017.
-
Kamanda katika Jeshi la Israel akiri jeshi hilo linashirikiana na magaidi Syria
Jul 10, 2017 22:37Naibu Mkuu wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwepo ushirikiano wa karibu baina ya jeshi la utawala huo na magaidi walioko nchini Syria.
-
Wanachama UNESCO wakataa wito wa kukaa kimya dakika moja kwa sababu ya Holocaust
Jul 07, 2017 22:22Wito uliotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika kikao cha Shirika la Elimu, Syansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) wa kunyamaza kimya dakika moja ili kuonesha heshima kwa eti wahanga wa mauaji ya Holocaust umekabiliwa na upinzani mkali wa mwakilishi wa Cuba katika kikao hicho.