-
Sauti ya ukombozi wa Quds kusikika leo katika Siku ya Kimataifa ya Quds
Jun 30, 2016 22:14Taifa la Iran na mataifa mengine ya Waislamu leo Ijumaa sambamba na maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds, yatapaza tena sauti ya kupigania ukombozi wa Quds tukufu na kutangaza hasira zao dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya siku hii.
-
UN: Israel inafanya ukatili dhidi ya watoto wa Palestina
Jun 25, 2016 08:22Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina.
-
Wazayuni wazidi kuwateka nyara wanawake na wasichana wa Kipalestina
Jun 13, 2016 10:22Tangu ilipoanza Intifadha ya Quds mwanzoni mwa mwezi Oktoba 2015 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshawateka nyara makumi ya wanawake na washichana wa Kipalestina.
-
HAMAS: Shambulio dhidi ya Wazayuni ni jibu kwa kushtadi jinai za Israel
Jun 08, 2016 23:50Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema operesheni ya shambulio lililotekelezwa dhidi ya Wazayuni ni matokeo ya jinai zilizoshtadi za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Wazayuni wamevamia zaidi ya mara 100 katika mwezi mmoja maeneo matakatifu ya Palestina
Jun 05, 2016 10:56Waziri wa masuala ya kidini na waqfu wa Palestina amesema, Wazayuni wameuvamia mara chungu nzima msikiti mtukufu wa al-Aqsa na Haram ya Nabii Ibrahim (as) huko Alkhalil katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.
-
Watoto zaidi ya elfu mbili Kipalestina wauliwa shahidi na Wazayuni
Jun 01, 2016 10:58Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewauwa shahidi kwa kuwapiga risasi watoto wa Kipalestina zaidi ya elfu mbili tangu kuanza Intifadha ya Masjidul Aqsa mwaka 2000.
-
Kuongezeka malalamiko ya kimataifa dhidi ya Israel
May 31, 2016 22:41Taasisi 16 za kimataifa kote ulimwenguni zimeandika barua zikilaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumpiga marufuku ya kusafiri, Omar Barghouthi, mwasisi wa Harakati ya Kimataifa ya Kuisusia Israel BDS.
-
Jumanne, Mei 24, 2016
May 23, 2016 23:21Leo ni Jumanne 17 Shaaban mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 24 Mei mwaka 2016 Miladia.
-
Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina
May 10, 2016 23:47Gazeti moja la kila siku la nchini Tanzania limeandika makala changanuzi kuhusu historia ya uungaji mkono wa Tanzania kwa taifa madhlumu la Palestina.
-
Mwanamke atolewa akiwa hai katika vifusi baada ya kupita siku sita Nairobi
May 05, 2016 10:00Mwanamke mmoja ametolewa akiwa hai leo baada ya kupita siku sita tangu jengo moja kuporomoka katika mtaa wa Huruma mjini Nairobi Kenya.