-
Wapalestina wakumbuka ukatili wa Israel huko Deir Yassin
Apr 09, 2016 11:34Wapalestina leo wamekumbuka mwaka wa 68 wa mauaji ya raia 270 wa Kipalestina mikononi mwa kundi la kigaidi la Wazayuni kwenye mji wa Deir Yassin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Juhudi za Israel za kuwahamishia Palestina inayokaliwa kwa mabavu mamia ya Mayahudi wa Ethiopia
Apr 08, 2016 23:28Utawala wa Kizayuni wa Israel una mpango wa kuwahamishia huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu mamia ya Mayahudi wa Ethiopia.
-
Hizbullah yaikosoa Saudia kwa kuanzisha uhusiano na Israel
Apr 07, 2016 22:41Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya utawala wa Saudi Arabia ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Iran yakosoa nchi zenye silaha za nyuklia kwa kukiuka mpatano
Apr 06, 2016 03:10Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amebainisha wasiwasi wake kuhusu mchakato wa kuangamiza silaha za nyuklia duniani.
-
UN yapinga maonyesho ya kipropaganda ya Israel
Apr 03, 2016 23:08Umoja wa Mataifa umepinga maonyesho ya picha za kipropaganda za utawala wa Kizayuni wa Israel katika makao makuu ya umoja huo mjini New York.
-
Wazayuni wazuia kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS
Apr 03, 2016 03:01Wizara ya Wakfu ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi uliopita wa Machi, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni walizuia mara chungu nzima kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS mjini Alkhalil.
-
Njama za Israel za kueneza ushawishi wake barani Afrika
Apr 01, 2016 12:27Gazeti la Kiingereza la Financial Times limetangaza habari kuhusu hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kujipenyeza na kupata waungaji mkono wapya barani Afrika, ili kuimarisha nafasi yake kimataifa.
-
Kukandamizwa Waislamu Marekani kunafanywa kwa uratibu wa serikali na Wazayuni
Mar 30, 2016 11:30Imam wa Msikiti wa al-Islam mjini Washington, Marekani amesema serikali ya nchi hiyo na Wazayuni wana muelekeo wa pamoja na wanashrikiana katika kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.
-
Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza
Mar 23, 2016 21:42Wapiganaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Ukanda wa Gaza kwa shabaha ya kuzidisha utayarifu wao kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya aina yoyote ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Idadi ya wanajeshi wa Israel wenye matatizo ya kisaikolojia yaongezeka
Mar 23, 2016 21:29Duru za Kizayuni zimeripoti kuwa maradhi ya kisaikolojia yanazidi kuenea miongoni mwa wanajeshi wa utawala huo.