-
Hamas yalaani ukatili unaofanywa na Wazayuni
Mar 20, 2016 22:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto nyumba ya shahidi pekee wa jinai ya kuchomwa moto nyumba na familia ya al Sa'ad Dawabsheh na kuteketezwa watu wa familia hiyo wakiwa hai.
-
Hamas: Tel Aviv inataka kupotosha watu kuhusu mapambano ya Intifadha
Mar 14, 2016 04:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamasi imetangaza kuwa lengo la mashambulizi yaliyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ni kuwafanya walimwengu wasitilie maanani na kuzingatia mapambano ya Intifadha ya Quds Tukufu.
-
Madaesh wasiopungua elfu mbili wamepatiwa matibabu na utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 13, 2016 00:00Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa magaidi wasiopungua elfu mbili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (IS) wa nchini Syria walipelekwa Israel kwa ajili ya kutibiwa.
-
Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine wavunja makubaliano ya kusimamisha vita na Wapalestina
Mar 12, 2016 11:54Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamevunja makubaliano ya kusimamisha vita kati yao na Wapalestina kwa kuwashambulia kwa risasi wavuvi wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Juhudi zisizo na matunda za Israel za kusambaratisha Intifadha ya Quds
Mar 12, 2016 04:52Baada ya juhudi za Israel za kusambaratisha Intifadha ya Quds kushindwa, Kamati ya Usalama ya utawala huo ghasibu sasa imechukua maamuzi mapya yanayolenga kuikandamiza Intifadha hiyo.
-
Mwanamasumbwi wa Iran akataa kuzipiga na mwenzake wa Israel, aungana na Wapalestina
Mar 10, 2016 22:44Mchezaji wa timu ya taifa ya ndondi ya Iran amekataa kupigana na nchezaji wa ndondi wa utawala haramu wa Israel katika mashindano ya kimataifa ya ndondi ya Njia ya Hariri yanayofanyika Baku nchini Azerbaijan akionyesha uungaji mkono wake kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina
-
Wazayuni: Tumeshindwa kuisambaratisha Intifadha ya Quds
Mar 09, 2016 23:17Duru za Wazayuni zinaripoti kwamba, utawala ghasibu wa Israel umeshindwa kukabiliana na Intifadha ya Quds inayoendeshwa na wanamapambano wa Kipalestina.
-
Isaac Herzog: Baraza la Mawaziri la Benjamin Netanyahu limeshindwa kukabiliana na muqawama wa Palestina
Mar 09, 2016 11:56Viongozi wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamelikosoa vikali Baraza la Mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kutokana na kushindwa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kipalestina.
-
Zarif: Inaaibisha nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni
Mar 07, 2016 12:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "inaaibisha" nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Zarif: Inaaibisha nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni
Mar 07, 2016 12:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "inaaibisha" nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni wa Israel.